Useseme mtanzania. Waislam washaandamana sana tu. Wakati wanaandamana wanadai haki zao wasiokuwa Waislam wakidhihaki wakesema wakorofi. Hivi sasa wanataka kuandamana wanashindwa waanze vipiNarudia tena na kukazia
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm.
Sisi tukomae na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume na misambwanda