Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
NdioHivi uliamini kuwa yatakuwepo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioHivi uliamini kuwa yatakuwepo?
Haikuwa BUSARA Kutoka kumzika Mzee yule wakaendelea na maandamano,Siku ile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile.
Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi?
Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
Kesha andamana huko Magomeni..... 😀Siku ile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile.
Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi?
Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
Kwako kualika polisi Toka mikoa yote Tanzania kuja kushiriki maandamano ya CDM huoni ukubwa na kishindo hicho?Kiko wapi
Tena wameandamana kwa gharama za fedha😅Maandamano yamefanikiwa sana.
Polisi imeandamana siku 3, wakiwaambia dunia kuwa wao ni wauaji na watekaji.
Ulitakaje?
Polizi wameandamana kutoka mikoani kuja Dar.
Jana usiku polido afisa moja aliniambia.
Michadema mijinga sana, imetuandamisha mikoa yote🤣🤣🤣
Kama wameyapuuza kilichowafanya policcm kuyazuia ni kitu gani?Naona mmeanza kulaumiana baada ya kuona watanzania wameyapuuza na kuyakataa maandamano yenu . watanzania hawapo tayari kuunga mkono ujinga wenu.
Hawo ni kuwatafutia mizinga ya nyuki ukaiwacha hewani wakatafunwa.Mie nashangaa kama Pemba huku hakuna chadema lakini polisi kibao
Kodi zetu sisi wapumbavu sio😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆Na umewalipia nauli kwa kodi yako.
Uzuri polisi nao ni Watanzania,Kiko wapi
Narudia tena na kukazia
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Hata hao askari wenyewe ni waoga tu. Kama wasingekuwa waoga wangekataa kutumika na ccm.
Sisi tukomae na mipira, miziki, mitandao,mikeka ya kubeti, minguvu ya kiume na misambwanda
Dah. CHADEMA sasa inaonekana kama mwizi asiye na weledi? 🤔Hata mwizi akikuambia nitakuja kuiba kesho basi huyo sio mwizi.
Chadema akili kubwa sana yaaani. Polisi wameandamanishwa bila kupenda.Maandamano yamefanikiwa sana.
Polisi imeandamana siku 3, wakiwaambia dunia kuwa wao ni wauaji na watekaji.
Ulitakaje?
Polizi wameandamana kutoka mikoani kuja Dar.
Jana usiku polido afisa moja aliniambia.
Michadema mijinga sana, imetuandamisha mikoa yote🤣🤣🤣
Wanaoteka nao sio watanzania......acha uchawaLissu hajui lengo la Mbowe...
Anachokitaka huyo kengeza ni attention kimataifa ili zitoke fedha za ufadhili wa hayo maandamano...
Kengeza hajawahi kua serious na wananchi hata siku moja, kila anachofanya ni kwa maslahi binafsi...
Bado namshauri Tundu Lissu aangalie namna ya kukaa mbali na kengeza asichafuke.

sawa, umeandamana?Wanaoteka nao sio watanzania......acha uchawa![]()
Polisi wameandamana kwa niaba yangu 😕sawa, umeandamana?
Sawa, asante.Polisi wameandamana kwa niaba yangu 😕
Mtajua mwenyewe wa Tanganyika 😆Naam, kodi zenu.