Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Tena sasq hivi tunafungia mikutano ya aina yoyote ya hawa wajinga.Sikuile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile.
Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi?
Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
Mtanikumbuka 😂Tena sasq hivi tunafungia mikutano ya aina yoyote ya hawa wajinga.
Umenyimwa hadi uwezo wa kuficha ujinga wako. Hopeless!Tena sasq hivi tunafungia mikutano ya aina yoyote ya hawa wajinga.
Hata bakora zikiwa 5 nitatii 🤣Ccm ikiweka sheria kila siku ni lazima ucharazwe bakora 2 utatii?
Maandamano yamefanikiwa sana.Sikuile uliyokusanya viongozi wote wa chama wa Pwani na Dar es Salaam, ulitakiwa kutangaza maandamano palepale muingie barabarani jioni ileile.
Ila ukang'ang'ana kuwa ni lazima kuomba kibali polisi. Gen Z waliomba kibali wapi? Haya sasa, kiko wapi?
Lissu-x atakuwa anacheka kimoyomoyo.
Narudia tena na kukazia
Akili za hivi tu ndo umchunguze Mbowe?Lissu hajui lengo la Mbowe...
Anachokitaka huyo kengeza ni attention kimataifa ili zitoke fedha za ufadhili wa hayo maandamano...
Kengeza hajawahi kua serious na wananchi hata siku moja, kila anachofanya ni kwa maslahi binafsi...
Bado namshauri Tundu Lissu aangalie namna ya kukaa mbali na kengeza asichafuke.
Ujinga ni upi hapo?Saa 2 Lissu yupo kwake anakunywa supu huku ana tweet polisi wako nje nitaenda polisi...awa jamaa kuna mjinga unakuta anawachukulia serious.
What's the end game ? sababu kwenye hizi danadana vuta nikuvute mwananchi anaendelea kupigika kitaa; na resources kubwa na ammunition inatumika kwenye cosmeticsIssue ni njia inayotumika
Komaa na double chance utatoboa.Nipe odds mkuu