Maandamano ni Sayansi: Mbowe siku nyingine ufanye kama ulivyoshauriwa na Lissu-x

Acha kutoa kasoro uumbaji wa Mungu.
 
Kwanini unaita hii 'Tetesi' badala ya 'Ushauri'?
 
Narudia tena na kukazia


Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Watu hawajabanwa wala hawajaunganishwa kwa issues na wanasiasa world wide sio wa kuaminika..., kwahio kama itakuwa issues (mfano Kenya Gen Z na wanavyobanwa maisha yao) au watu wote (sio vyama) na ugumu wa maisha au watu na kuhusu ujangili unaoendelea (basi watashikama) Maandamo ya watanzania na maandamano ya Chama / Vyama vya Siasa sio necessarily one and the same...
 
Wale keyboard warriors wamepatwa na nini?Si walikuwa wanajipiga kifua.Ohh mimi nipo Ilala tayari,mwingine mimi nina bastola!
Mavi matupu andamaneni sasa tuone.
 
Narudia tena
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.



Ccm labda wapinduliwe
 
Maslahi gani wakati ni Bilionea? Ameanza kushika Pesa akiwa na 19yrs old na wala hajui siasa enzi hizo ,mpaka anaingia kwenye siasa ana Utajiri wa hatari mpaka kumiliki apartment Down town NYC ,Hotels na majumba UK.
na hicho ndiyo kinamsababisha afanye siasa maslahi...

anaipenda pesa kuliko maslahi ya anaojifanya kuwatetea...
 
sorry ila huyo mtu wenu kila move anayofanya ni kwa maslahi yake kwanza.
Chadema wapo kama mazombi ingawa mbowe ana akili sana kuliko chadema wengi sana hata wale mawakili wake wapenda sifa , hicho ndicho nachomkubali bwana mbowe , ila kwa dar maandamano ngumu sana hawa wapenda bata maneno mengi walevi ,waache kwenda kidimbwi wakaandamane?
 
na hicho ndiyo kinamsababisha afanye siasa maslahi...

anaipenda pesa kuliko maslahi ya anaojifanya kuwatetea...

Utajiri ameupata nje ya siasa mkuu na hata mlivomuharibia vyanzo vyake vikubwa viwili lakin bado Mpunga upo ,so hajaja kwenye siasa kwa ajili ya kupiga pesa ,si umeona bon yai mjengo wake ule? Hivi kuna mwanasisiemu au Police officer yeyote mwenye Mjengo kama wa Bon Yai? Na yeye vipi ameenda chadema kupiga Pesa? Ukiona mtu yupo upinzani ujue hayupo kwa ajili ya kuchumia tumbo ,wachumia TUMBO wote wapo SISIEMU.
 
Upo sahihi, enzi zao CUF walifanikiwa sababu walikuwa hawayikei majumbani bali walikuwa wakitokea misikitini.
Enzi za Magu, yale maandamano ya CHADEMA yalifanikiwa sababu hawakutokea majumbani nali walitokea Mkutanoni.
Haya waliyoyafanya majuzi baada ya kuruhusiwa na malkia Juha Chura yalikuwa kama maandamano ya Ekaristi tu.
Hata haya ya sasa ni halali kabisa yenye nia njema ila mamlaka zimeamua kuyaharamisha
 
Sure alipaswa kuzama muda ule ule ambao polis hawaja jipanga sema. Amani itawale
 
Hiki ni chama cha Siasa hakiwezi kufanya jambo kinyume na sheria na taratibu za nchi la sivyo utawapa kisingizio watesi wenu wewe fuata taratibu zote wao ndiyo wavunje maandamano unayotaka yafanyike hayo huwa hayaratibiwi na vyama vya siasa bali hiyo huws ni violence inayo fanywa na wananchi wenyewe na huwa hakuna mtu wakuratibu wala kuongoza.
 
Maskini Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…