Maandamano ni Sayansi: Mbowe siku nyingine ufanye kama ulivyoshauriwa na Lissu-x

Useseme mtanzania. Waislam washaandamana sana tu. Wakati wanaandamana wanadai haki zao wasiokuwa Waislam wakidhihaki wakesema wakorofi. Hivi sasa wanataka kuandamana wanashindwa waanze vipi
 
Mbowe shenzi Sana

Mziki ulitakiwa uanzie palepale msibani yule mh ilitakiwa aanze kuchezea palepale Kisha lihamie polisi liendelee kuunguruma mpaka mkoani na hatimaye kitaifa

Sasa akaja na miwani yake pale kazuia watu wasipumue mwisho wa siku ndiyo hivyo
 
Maandamano sio wingi wa watu barabarani ni kufikisha ujumbe kwa walengwa. Kwa maandamano ya Polisi nchi nzima tangu wiki iliyopita ujumbe umefika vizuri mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…