Tatizo waandaaji wa hayo maandamano hawako tayari kutoa taarifa. Tena hawataki wajulikane. Watakwambia tu maandamano haya ni ya wananchi. Lkn kiuhalisia ni ya CHADEMA na TECKama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;-
A:Viongozi wa waandamanaji;-
1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka
2.Wataje watatoka wapi na wataishia wapi kwenye hayo maandamano
3.Watayarishe na mabango yanayoonyesha matakwa yao
B:Serikali
1. Iyaruhusu maandamano wakisha kidhi matakwa ya kisheria
2.Watoe ulinzi kwa mali za watu kwenye njia hizo ambazo waandamanaji watapita
3. Yeyote atakayefanya uharibifu wakato wa maandamano sheria ichukue mkondo wake.
Hii standoff kati ya Serikali kama nilivyoisikia kwenye kauli ya RC Dar haina tija. Tanzania ni yetu wote, ikiharibika hatuna pa kukimbilia
Na huu ni ukweli mchungu na ndipo tatizo kuu linapoanzia.Tatizo waandaaji wa hayo maandamano hawako tayari kutoa taarifa. Tena hawataki wajulikane. Watakwambia tu maandamano haya ni ya wananchi. Lkn kiuhalisia ni ya CHADEMA na TEC
Chadema wengi ni mambumbumbu, hayaelewi hili.Kuwaruhusu masikini waandamane ni kulipa Taifa umasikini. Masikini ukimruhusu aandamane anaweza akaibe nini, amkomoe nani anaejifanya kafanikiwa, amfanye nini yule mbaya wake na ujinga mwingine mwingi.
Tunaona kilasiku Kenya wanaandamana, ila katikati ya maandamano unazuka wizi wa ajabu ambao unawarudisha nyuma wafanyabiashara wengi sana.
Najiaandaa natoka musoma kuja dar kwa maandamanoKama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;-
A:Viongozi wa waandamanaji;-
1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka
2.Wataje watatoka wapi na wataishia wapi kwenye hayo maandamano
3.Watayarishe na mabango yanayoonyesha matakwa yao
B:Serikali
1. Iyaruhusu maandamano wakisha kidhi matakwa ya kisheria
2.Watoe ulinzi kwa mali za watu kwenye njia hizo ambazo waandamanaji watapita
3. Yeyote atakayefanya uharibifu wakato wa maandamano sheria ichukue mkondo wake.
Hii standoff kati ya Serikali kama nilivyoisikia kwenye kauli ya RC Dar haina tija. Tanzania ni yetu wote, ikiharibika hatuna pa kukimbilia
Toa ushaidi kwamba ni TEC na Chadema viongozi wa ayo maandamano wanaogopa kutoa taarifa mnaweza kuwatekaTatizo waandaaji wa hayo maandamano hawako tayari kutoa taarifa. Tena hawataki wajulikane. Watakwambia tu maandamano haya ni ya wananchi. Lkn kiuhalisia ni ya CHADEMA na TEC
Hakuna aliyepita mlango kwa mlango kulazimisha maandamano.Ni hiyari ya moyo!Maandamano ni haram mpaka pale itakapothibitika kiintelijensia kwanba hali ni shwari nchini!
... nani anaeomba kibali cha hayo maandamano? ajenda ni nini? ... haiwezekani Mange Kimambi atupangie maisha!
leo umeongea kiutu uzima..nikwambie siri moja wapo viongozi ndani ya serikali ni wachochezi wa vurugu..mmoja ni huyo uliyemtaja.Kama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;-
A:Viongozi wa waandamanaji;-
1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka
2.Wataje watatoka wapi na wataishia wapi kwenye hayo maandamano
3.Watayarishe na mabango yanayoonyesha matakwa yao
B:Serikali
1. Iyaruhusu maandamano wakisha kidhi matakwa ya kisheria
2.Watoe ulinzi kwa mali za watu kwenye njia hizo ambazo waandamanaji watapita
3. Yeyote atakayefanya uharibifu wakato wa maandamano sheria ichukue mkondo wake.
Hii standoff kati ya Serikali kama nilivyoisikia kwenye kauli ya RC Dar haina tija. Tanzania ni yetu wote, ikiharibika hatuna pa kukimbilia
... andamana kwenu, Dar tunataka utulivu tipige kazi!Najiaandaa natoka musoma kuja dar kwa maandamano