CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Wanaotaka kuandamana 7/7 waiteni Waulize wanataka nini tujifunze kutatua matatizo yetu kwa kukaa mezani lakini viburi na jeuri vitapeleka nchi pabaya itashindwa kutawalika. Jiulize swali wananchi wakitoka mkawapiga risasi hiyo 7/7 itakua ndo solution plus October 29 mtaua watu wangapi mtapeleka nchi kutotawalika nchi itajaa visasi juu ya visasi . Tu Waulize wanaotaka kuandamana 7/7 tukaeKuwaruhusu masikini waandamane ni kulipa Taifa umasikini. Masikini ukimruhusu aandamane anaweza akaibe nini, amkomoe nani anaejifanya kafanikiwa, amfanye nini yule mbaya wake na ujinga mwingine mwingi.
Tunaona kilasiku Kenya wanaandamana, ila katikati ya maandamano unazuka wizi wa ajabu ambao unawarudisha nyuma wafanyabiashara wengi sana.
Hatimaye Serikali imekusikia, itatoa ulinzi n.a. kulinda Maandamano ya Amani , muda mfupi ujao itatoa tangazoKama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;-
A:Viongozi wa waandamanaji;-
1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka
2.Wataje watatoka wapi na wataishia wapi kwenye hayo maandamano
3.Watayarishe na mabango yanayoonyesha matakwa yao
B:Serikali
1. Iyaruhusu maandamano wakisha kidhi matakwa ya kisheria
2.Watoe ulinzi kwa mali za watu kwenye njia hizo ambazo waandamanaji watapita
3. Yeyote atakayefanya uharibifu wakato wa maandamano sheria ichukue mkondo wake.
Hii standoff kati ya Serikali kama nilivyoisikia kwenye kauli ya RC Dar haina tija. Tanzania ni yetu wote, ikiharibika hatuna pa kukimbilia
Umeninukuu tujifunze kusikilizana watu waliostarabika ukaa mezani na kujadili mstakabali wa nchi yao lakini ubabe ubabe hauna maana na risasi hazichagui wa kupiga siku wakipigwa ndugu na jamaa na marafiki ambao wako kwenye vyombo vya dola nini kitafuata unatengemea vyombo vya dola wa Askari wa chini kukosa morali maana watakua wameumizwa nao kwa kuuliwa ndugu zao dada zao mama zao kaka zao kitachofuata ni kitu kibaya. Tukae mezani tuwaulize wanataka nini IRAN na USA wamepigana weee mwishoni wanamaliza vita kwa maongezi tujifunze kumaliza matatizo ya Taifa letu kwa maongezi hakuna aliyemkubwa kuzidi taifa sisi tutaondoka taifa tutaliachia wajukuu zetu suala tunaliachaje kwenye visasi?Wanaotaka kuandamana 7/7 waiteni Waulize wanataka nini tujifunze kutatua matatizo yetu kwa kukaa mezani lakini viburi na jeuri vitapeleka nchi pabaya itashindwa kutawalika. Jiulize swali wananchi wakitoka mkawapiga risasi hiyo 7/7 itakua ndo solution plus October 29 mtaua watu wangapi mtapeleka nchi kutotawalika nchi itajaa visasi juu ya visasi . Tu Waulize wanaotaka kuandamana 7/7 tukae
Duh!...Siasa za kupimana ubavu haziwezi kuleta amaniWajitambulishe kabla ili wote wauwawe?Halina ubishi hilo.Kila siku wanaosimama na kudai haki wanatekwa,wanatswa,kutolewa utu wao,kuitwa kuhojiwa ujingaujinga na hata kuuwawa.Mambo yaende hivyohivyo kibubububu hadi kieleweke.
Mwachambwa anasema atakayeandamana atakiona. Ma ccm mpumbavu sana.Kama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;-
A:Viongozi wa waandamanaji;-
1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka
2.Wataje watatoka wapi na wataishia wapi kwenye hayo maandamano
3.Watayarishe na mabango yanayoonyesha matakwa yao
B:Serikali
1. Iyaruhusu maandamano wakisha kidhi matakwa ya kisheria
2.Watoe ulinzi kwa mali za watu kwenye njia hizo ambazo waandamanaji watapita
3. Yeyote atakayefanya uharibifu wakato wa maandamano sheria ichukue mkondo wake.
Hii standoff kati ya Serikali kama nilivyoisikia kwenye kauli ya RC Dar haina tija. Tanzania ni yetu wote, ikiharibika hatuna pa kukimbilia
Kila mtu anataka utulivu wa kisiasa ili tupige kazi tupate mapato ya familia. Utulivu unakuja kwa haki, kuheshimu mawazo na kusikilizana.Tusiwape faida maadaui wa nchi yetu wapate sababu ya kuivuruga
Tatizo hakuna anayejitokeza kutoa taarifa rasmi. Hata CDM wenyewe wanaogopa kutoa taarifaUna akili hiki ndo nilikua nazungumiza hapa wakiruhusu watu kuandamana impact itakua ndogo sana kuliko kuyazuia yakisharuhusiwa tu hata waandamanaji wanaweza kua wachache sana
Unatoa taarifa mchana usiku wanakutekaTatizo hakuna anayejitokeza kutoa taarifa rasmi. Hata CDM wenyewe wanaogopa kutoa taarifa
So ni maandamano yasiyo na taarifa rasmi. Ni watu kuanzisha popote watakavyokubaliana. Muuza duka la simu anafungua Asubh anashtukia tu watu hao mlangoni wanaandamana.Unatoa taarifa mchana usiku wanakuteka
SimuSo ni maandamano yasiyo na taarifa rasmi. Ni watu kuanzisha popote watakavyokubaliana. Muuza duka la simu anafungua Asubh anashtukia tu watu hao mlangoni wanaandamana.