Watanganyika mlioko CCM wote mnatumia makalio kufikiria.Hivi kweli hata kama wewe na familia yako mnafaidika na fedha za damu huwezi kufikiri juu ya Maisha ya jayo ?Kwanini ZANZIBAR imeendelea zaidi kuliko TANGANYIKA?Na huu ni ukweli mchungu na ndipo tatizo kuu linapoanzia.
Ile ilikuwa hamna namna, yale magenge ya hooligans yasingeweza kutulizwa kwa maji ya washawasha au risasi za machozi. Don't be hypothetical
Unajitaka hujitaki? Yani ujipeleke kwamba we ndio mratibu na kiongozi wa maandamano halafu utegemee utaishi ili uione kesho kwenye mazingira haya ya sasa. UwongoooTatizo waandaaji wa hayo maandamano hawako tayari kutoa taarifa. Tena hawataki wajulikane. Watakwambia tu maandamano haya ni ya wananchi. Lkn kiuhalisia ni ya CHADEMA na TEC
Ngoja niku tag sehem😅😅Social sana sana, huku political ndo najiulza tangu lini ? 😅
Ni mtu anayetumia kinyeo kufikiri peke yake anaweza kuja na hoja ya kijinga kama hiyo eti Zanzibar imeendelea kuliko Tanzania bara. Ndo tatizo la kuwa mtegemezi wa akili.......unalishwa Kila aina ya upumbavu.Watanganyika mlioko CCM wote mnatumia makalio kufikiria.Hivi kweli hata kama wewe na familia yako mnafaidika na fedha za damu huwezi kufikiri juu ya Maisha ya jayo ?Kwanini ZANZIBAR imeendelea zaidi kuliko TANGANYIKA?
kwani risasi anatakiwa kupigwa mtoto wa miaka mingapi? Vita hvina machoHuo sio utawala wa sheria, ndio maana hadi sasa mnahaha kusema mnataka "maridhiano" na hamjui mnaridhiana na nani na kwa sababu ipi.
Mtoto hadi wa miaka 2 anapigwa risasi unasema huyo ni kibaka?
Zanziba ina maendeleo gani ambayo unataka tuyatolee macho?Watanganyika mlioko CCM wote mnatumia makalio kufikiria.Hivi kweli hata kama wewe na familia yako mnafaidika na fedha za damu huwezi kufikiri juu ya Maisha ya jayo ?Kwanini ZANZIBAR imeendelea zaidi kuliko TANGANYIKA?
Kama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;-
A:Viongozi wa waandamanaji;-
1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka
2.Wataje watatoka wapi na wataishia wapi kwenye hayo maandamano
3.Watayarishe na mabango yanayoonyesha matakwa yao
B:Serikali
1. Iyaruhusu maandamano wakisha kidhi matakwa ya kisheria
2.Watoe ulinzi kwa mali za watu kwenye njia hizo ambazo waandamanaji watapita
3. Yeyote atakayefanya uharibifu wakato wa maandamano sheria ichukue mkondo wake.
Hii standoff kati ya Serikali kama nilivyoisikia kwenye kauli ya RC Dar haina tija. Tanzania ni yetu
Sifurahii mauaji bali nasema kulikuwa hakuna namna nyingine ya kutuliza ule uhayaani wa tarehe 29/ 10 zaidi ya risasi za moto. imagine ule uharibifu uliofanyika kwa masaa machache, ni vipi ingekuwa kama ingefika siku 2 au wiki moja?. tungefika pale iliopofika Sudan. Mimi ni mzee kweli ila nilihakikisha nawakanya wanngu na ndugu zangu wasifuate mkumbo (mob psychology). Nawe mkanye mwanao au ndugu yako, muulize Je wewe ungekuwa Rais wa tanzania leo nini nini ungefanya tofauti?Mzee unafurahia mauaji umenisikitisha sana Mauji sio kitu cha kufurahia tena watoto wadogo ukirudi labda sasa ukakuta mtoto wako Kapigwa risasi utajiskiaje? Maumivu ayo wengine walikua home wengine wanangalia mpira mauji sio jambo la kufurahia tena mtanzania mwenzako kwa maslahi watu wachache?Inaumiza
Kwa hiyo mnatamani kuishi ila mnataka watoto wa wenzenu ndiyo wauliwe tu?Unajitaka hujitaki? Yani ujipeleke kwamba we ndio mratibu na kiongozi wa maandamano halafu utegemee utaishi ili uione kesho kwenye mazingira haya ya sasa. Uwongooo
Watanzania wote tunapaswa kuzuia maandamano yenye uvunjifu wa amani kama Shehe MwaipopoKuna Shekhe mmoja anajiita Mwaipopo.Amejiandaa kupambana na waandamanaji. Sijui anafanya hivyo kama nani? Ana security company au naye ni polisi?
Hii ndio Tanzania tuitakayo. Tukubqli haki za watu na tuwahimize kuwajibika. Maandamano sio vita.Kama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;-
A:Viongozi wa waandamanaji;-
1. Watoe taarifa kwenye vyombo husika kwa kuandika barua kadri Sheria/ Katiba inavyotaka
2.Wataje watatoka wapi na wataishia wapi kwenye hayo maandamano
3.Watayarishe na mabango yanayoonyesha matakwa yao
B:Serikali
1. Iyaruhusu maandamano wakisha kidhi matakwa ya kisheria
2.Watoe ulinzi kwa mali za watu kwenye njia hizo ambazo waandamanaji watapita
3. Yeyote atakayefanya uharibifu wakato wa maandamano sheria ichukue mkondo wake.
Hii standoff kati ya Serikali kama nilivyoisikia kwenye kauli ya RC Dar haina tija. Tanzania ni yetu wote, ikiharibika hatuna pa kukimbilia
Watanzania wote tunapaswa kuzuia maandamano yenye uvunjifu wa amani kama Shehe Mwaipopo
Hakuna anayestahili, unafikiri hao waandamanaji wangeingia barabarani na bunduki kama ambavyo ripoti ya Chande ilidanganya unafikiri askari wangapi wangeuwawa pia?kwani risasi anatakiwa kupigwa mtoto wa miaka mingapi? Vita hvina macho
Viongozi wao walikuwa na mabomu yakutengengeneza kienyeji na petroli maarufu kama molotovHakuna anayestahili, unafikiri hao waandamanaji wangeingia barabarani na bunduki kama ambavyo ripoti ya Chande ilidanganya unafikiri askari wangapi wangeuwawa pia?
Waandaaji ni wahuni na wengi wako nje ya nchi na wengine ni wako mitandaoni hawana ofisi hivyo kwa mujibu wa sheria ya TZ hawawezi kuandaa maandamano. Na wafadhiri wao Chadema wamekataa hawayajui hayo maandamano.Kama ni kweli kama ninavyosoma kwenye mitandao kuwa kuna maandamano yanapangwa kufanyika tarehe 7/7 basi nashauri viongozi wa maandamano na Serikali wafanye yafuatayo;-