Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Waandamane tu ni haki yao ya kidemokrasia ila vita dhidi ya ugaidi iko pale pale.Wewe kula ugali wako wa mahindi ujambe na kulala. wewe ni mla ugali wa mahindi huwezi kuwa na akili kuwazidi Wamarekani ambao kwao mahindi ni chakula cha ng'ombe. Wewe akili yako imedumaa kwa ulaji wa ugali wa mahindi.