Maandamano ya kupinga vita vya Gaza yaitikisa Marekani.Yahofiwa kuleta matokeo kama ya vita vya Vietnam

Maandamano ya kupinga vita vya Gaza yaitikisa Marekani.Yahofiwa kuleta matokeo kama ya vita vya Vietnam

Marekani ina watu zaidi ya millioni 335, hao wanaoandamana hawafiki hata 10,000 Marekani yote sasa ndio nini hiyo.

Isitoshe ni walewale wazamiaji waliokimbia "sharia law" kwenda kutafuta uhuru ktk nchi za magharibi. That's all.
Kiazi mbatata kila siku unazidi kujianika kwa kujionyesha ulivyo mtupu kichwani
 
Waangalie nini chanzo cha mzozo sio kukurupuka tu kuandamana kwani kuandamana tu hakutasaidia chochote.

Wao walitaka hao magaidi wawaue tu watu kisha Israel icheke nao na tukumbuke kwamba hao magaidi wameua hata watanzania vilevile. Sio watu wa kulea hao. Bure kabisa.
Kwa hiyo raia wote wa palestina ni magaidi? Hebu tumia walau 1% tu ya akili yakoutaona kwa nini wanandamana na kugoma.
 
Mimi ninaishi Marekani na sioni maandamano yoyote ya kutikisa serikali.
Bro unaishi marekani sehemu gani? Maana nasikia huku kuna sehemu maarumu kwa watu choka mbaya ambao kupata hata information ya kujua kinachoendelea duniani ni 0%
 
Tupe maandiko.
"Jitieni nira yangu mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mnyenyekevu wa moyo." maneno ya Yesu hayo. Yesu alikuwa anasujudu, kwanini wewe hautaki kusujudu? Unafuata nira ya nani na unaifunza kwa nani?
 
"Jitieni nira yangu mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mnyenyekevu wa moyo." maneno ya Yesu hayo. Yesu alikuwa anasujudu, kwanini wewe hautaki kusujudu? Unafuata nira ya nani na unaifunza kwa nani?
Hakuna uthibitisho wowote kutokana na maandiko hayo. Kuabudu sio lazima usujudu na shida ya waafrika siku zote ni kuiga vitu kutoka nje. Waafrika shida sana.
 
Back
Top Bottom