Maandamano ya kupinga vita vya Gaza yaitikisa Marekani.Yahofiwa kuleta matokeo kama ya vita vya Vietnam

Maandamano ya kupinga vita vya Gaza yaitikisa Marekani.Yahofiwa kuleta matokeo kama ya vita vya Vietnam

Wewe kula ugali wako wa mahindi ujambe na kulala. wewe ni mla ugali wa mahindi huwezi kuwa na akili kuwazidi Wamarekani ambao kwao mahindi ni chakula cha ng'ombe. Wewe akili yako imedumaa kwa ulaji wa ugali wa mahindi.
Kupiga kichwa chini kwa muda mrefu ina madhara yake.
 
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo.

Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika wa bunge wa Marekani.bwana Johson kutembelea eneo hilo kuwataka watawanyike bila mafanikio.

Maandamano kama hayo yamekuwa yakiendelea kwenye vyuo vikoo kadhaa kikiwemo cha Yale. Kitu cha hatari zaidi maandamano na kugoma kuingia madarasani kumeanza kushuka chini mpaka kwenye vyuo vya kiufundi na vyenginevyo.

Vita vya Vietnam vilianza mwaka 1954 na kufikia mwisho mwaka 1973 kwa kushindwa kwa Marekani japo ilikuwa tayari imepeleka askari na wamarekani wengine zaidi ya milioni 3 kuikalia nchi hiyo ya Asia.

Kilichopelekea kushindwa kwa Marekani na kuondoka nchini humo ilikuwa ni upinzani mkubwa uliotokea ndani ya nchi hasa kwenye vyuo vya elimu.
Vyuo vya Ufaransa na Australia nao tayari washakiamsha.
 
Unaweza kudhani ni wamarekani kumbe ndio wale wahamiaji haramu kutoka Africa na uarabuni waliokuwa wanavuka kupitia Libya kwa mitumbwi wazungu wakawapetipeti Sasa wanakitekeleza kilichowapeleka
 
Waangalie nini chanzo cha mzozo sio kukurupuka tu kuandamana kwani kuandamana tu hakutasaidia chochote.

Wao walitaka hao magaidi wawaue tu watu kisha Israel icheke nao na tukumbuke kwamba hao magaidi wameua hata watanzania vilevile. Sio watu wa kulea hao. Bure kabisa.
Wewe jitu jeusi kama lami una akili zaidi ya hao wazungu wenye kuelewa masuala ya dunia kuliko wewe?

Unaua watoto na wanawake wasio na hatia halafu unataka wasifiwe?
 
Hayo ndiyo madhara ya kukaribisha wahamiaji, wengi wa waandamanaji ni wahamiaji toka nchi za kiarabu/kiislam/mashariki ya kati. Hawa raia wanatetea ndugu zao wapalestina dhidi ya kifinyo wanachokipata baada ya wenzao kujitia wazimu kuishambulia israel oktobba 7, 2023
Kwa kweli sera ya uhamiaji nchini marekani ni ya ajabu Sana.
Ni nchi ambayo inaruhusu idadi kubwa Sana ya wahamiaji Kwa kigezo Cha kusoma chuo kikuu. Leo hii marekani anawanafunzi wahamiaji mamilioni Kwa mamilioni hao ndo wanakusanyana na kuanzisha maandamano.

NB : Kuna Jimbo mojawapo lilitaka kujitenga Kwa kukataa wahamiaji kutoka mataifa ya kigeni hasa mashariki ya kati na watu kutoka Afrika .

KAMA KUNA KITU KITAKUJA KULIANGUSHA TAIFA HILI BASI NI KURUHUSU WAHAMIAJI WENGI HASA KUTOKA MATAIFA YA KIARABU . Muda utanena .
 
Hao wanaondamana ni wasomi wenye kujitambua siyo kama wewe jinga unatetea wayahudi wauaji bila kufikirisha ubongo kisa ni mlokole pumbafuu.
Siwezi kuwaunga mkono magaidi walioua watanzania wenzetu, after all, mimi sio pagazi wa waarabu.
 
Wewe jitu jeusi kama lami una akili zaidi ya hao wazungu wenye kuelewa masuala ya dunia kuliko wewe?

Unaua watoto na wanawake wasio na hatia halafu unataka wasifiwe?
Wale walioua watoto na wanawake ile tarehe 07/10/2023 wenyewe kwa mtizamo wako walikuwa sahihi kisa tu unahusudu utamaduni wao na kuponda ya kwako. Very hopeless.
 
Wameshaanza kumtupia lawama Putin kwamba ndiye chanzo cha maandamano hayo!
Haya yakiendelea Joe Biden atapoteza kura kwenye maeneo ambayo kuna vuguvugu la kupinga vita vya gaza!
 
Wameshaanza kumtupia lawama Putin kwamba ndiye chanzo cha maandamano hayo!
Haya yakiendelea Joe Biden atapoteza kura kwenye maeneo ambayo kuna vuguvugu la kupinga vita vya gaza!
Hao ni wale wazamiaji waliokimbia "sharia law" kwenda kutafuta uhuru ktk nchi za magharibi na kura zao hazina impact yoyote kwa uchaguzi wa Marekani na wengine ni wazamiaji tu hawana hata sifa ya kupiga kura.
 
roho inakuuma sana kuona watu wenye akili ndani ya usa wanakataa vita ila wewe nguruwe unataka vita
Habati mbaya sana kwako
Marekani ina watu zaidi ya millioni 335, hao wanaoandamana hawafiki hata 10,000 Marekani yote sasa ndio nini hiyo.

Isitoshe ni walewale wazamiaji waliokimbia "sharia law" kwenda kutafuta uhuru ktk nchi za magharibi. That's all.
 
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo.

Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika wa bunge wa Marekani.bwana Johson kutembelea eneo hilo kuwataka watawanyike bila mafanikio.

Maandamano kama hayo yamekuwa yakiendelea kwenye vyuo vikoo kadhaa kikiwemo cha Yale. Kitu cha hatari zaidi maandamano na kugoma kuingia madarasani kumeanza kushuka chini mpaka kwenye vyuo vya kiufundi na vyenginevyo.

Vita vya Vietnam vilianza mwaka 1954 na kufikia mwisho mwaka 1973 kwa kushindwa kwa Marekani japo ilikuwa tayari imepeleka askari na wamarekani wengine zaidi ya milioni 3 kuikalia nchi hiyo ya Asia.

Kilichopelekea kushindwa kwa Marekani na kuondoka nchini humo ilikuwa ni upinzani mkubwa uliotokea ndani ya nchi hasa kwenye vyuo vya elimu.
Mimi ninaishi Marekani na sioni maandamano yoyote ya kutikisa serikali.
 
Back
Top Bottom