Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Waandamane tu ni haki yao ya kidemokrasia ila vita dhidi ya ugaidi iko pale pale.Wewe kula ugali wako wa mahindi ujambe na kulala. wewe ni mla ugali wa mahindi huwezi kuwa na akili kuwazidi Wamarekani ambao kwao mahindi ni chakula cha ng'ombe. Wewe akili yako imedumaa kwa ulaji wa ugali wa mahindi.
Hayo ndiyo madhara ya kukaribisha wahamiaji, wengi wa waandamanaji ni wahamiaji toka nchi za kiarabu/kiislam/mashariki ya kati. Hawa raia wanatetea ndugu zao wapalestina dhidi ya kifinyo wanachokipata baada ya wenzao kujitia wazimu kuishambulia israel oktobba 7, 2023
Hao wanaondamana ni wasomi wenye kujitambua siyo kama wewe jinga unatetea wayahudi wauaji bila kufikirisha ubongo kisa ni mlokole pumbafuu.Waangalie nini chanzo cha mzozo sio kukurupuka tu kuandamana kwani kuandamana tu hakutasaidia chochote.
Wao walitaka hao magaidi wawaue tu watu kisha Israel icheke nao na tukumbuke kwamba hao magaidi wameua hata watanzania vilevile. Sio watu wa kulea hao. Bure kabisa.
Na hamas hawapoi mpaka kieleweke. Hakuna kurudi nyumaWaandamane tu ni haki yao ya kidemokrasia ila vita dhidi ya ugaidi iko pale pale.
Wewe ndo hujui chanzo cha mzozo. Pia usidhani kwamba wewe una akili kuwazidi wasomi tena wenye exposure ya duniani huko kwahiyo tulizana.Waangalie nini chanzo cha mzozo sio kukurupuka tu kuandamana kwani kuandamana tu hakutasaidia chochote.
Wao walitaka hao magaidi wawaue tu watu kisha Israel icheke nao na tukumbuke kwamba hao magaidi wameua hata watanzania vilevile. Sio watu wa kulea hao. Bure kabisa.
Sawa! Kazi iendeleeNa hamas hawapoi mpaka kieleweke. Hakuna kurudi nyuma
Chanzo cha mzozo ni ugaidi wa hamas dhidi ya Israeli.Wewe ndo hujui chanzo cha mzozo. Pia usidhani kwamba wewe una akili kuwazidi wasomi tena wenye exposure ya duniani huko kwahiyo tulizana.
Unafurahia vita eeh. Mjinga sana weweSawa! Kazi iendelee
Daaaah!Waangalie nini chanzo cha mzozo sio kukurupuka tu kuandamana kwani kuandamana tu hakutasaidia chochote.
Wao walitaka hao magaidi wawaue tu watu kisha Israel icheke nao na tukumbuke kwamba hao magaidi wameua hata watanzania vilevile. Sio watu wa kulea hao. Bure kabisa.
achana na hao wahamiaji waliohamia karne nyingi zilizopita. Nazungumzia wahamiaji wa miaka hii hasa hawa kutoka mashariki ya kati na afrika. Angalia wale waandamanaji wengi si wazungu ni wenye asili ya mashariki ya kati na afrika, wamechachamaa balaaAsilimia 90 ya Wamarekani ni wahamiaji, wanatofaytiana miaka tu ya kuhamia!
Bila wahamiaji hakuna USA!Hayo ndiyo madhara ya kukaribisha wahamiaji, wengi wa waandamanaji ni wahamiaji toka nchi za kiarabu/kiislam/mashariki ya kati.
sawa, wakihamia huko waheshimu sera za wenyeji waliowakuta. Kama wanaona uchungu hamas kupondwa waende gaza kuwasaidia kupambana na israelBila wahamiaji hakuna USA!
Unawajua wenyeji wa USA!?sawa, wakihamia huko waheshimu sera za wenyeji waliowakuta. Kama wanaona uchungu hamas kupondwa waende gaza kuwasaidia kupambana na israel
ni red indiens, baadae waingereza na wahispania na wazungu wengine wa ulaya. Hawa ndio true americans wanaipenda israel sana na sio hao waarabu, waafrica na wengine wa asia. Wale wote wanaoipenda USA ndio wamarekani wa ukweli na sio hivi vitoto vya vyuo vikuu vinaoleta fujo na vurugu tunaviita pro palestineUnawajua wenyeji wa USA!?
Hawa walokole waliosoma kisheni secondary na kula maharage yenye wadudu wanajifanya wanaakil kuliko watu waliopo ohio University mbona kituko jamaniroho inakuuma sana kuona watu wenye akili ndani ya usa wanakataa vita ila wewe nguruwe unataka vita
Habati mbaya sana kwako