mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Kiazi mbatata kila siku unazidi kujianika kwa kujionyesha ulivyo mtupu kichwaniMarekani ina watu zaidi ya millioni 335, hao wanaoandamana hawafiki hata 10,000 Marekani yote sasa ndio nini hiyo.
Isitoshe ni walewale wazamiaji waliokimbia "sharia law" kwenda kutafuta uhuru ktk nchi za magharibi. That's all.
Kwa hiyo raia wote wa palestina ni magaidi? Hebu tumia walau 1% tu ya akili yakoutaona kwa nini wanandamana na kugoma.Waangalie nini chanzo cha mzozo sio kukurupuka tu kuandamana kwani kuandamana tu hakutasaidia chochote.
Wao walitaka hao magaidi wawaue tu watu kisha Israel icheke nao na tukumbuke kwamba hao magaidi wameua hata watanzania vilevile. Sio watu wa kulea hao. Bure kabisa.
Bro unaishi marekani sehemu gani? Maana nasikia huku kuna sehemu maarumu kwa watu choka mbaya ambao kupata hata information ya kujua kinachoendelea duniani ni 0%Mimi ninaishi Marekani na sioni maandamano yoyote ya kutikisa serikali.
Wewe endelea kuwapigia magoti wayahudiWewe pagazi waabudu tu hao magaidi wenu na kasumba ya utumwa haitakaa iwatoke. Bure kabisa.
Uliwahi kusali naye wapi.…!!Unajisahulisha kuwa mungu wenu Yesu naye alikuwa anapiga kichwa chini
Kwenye maandiko matakatifu na kwa wasiojua kusoma wakatengenezewa sinema😀😀Uliwahi kusali naye wapi.…!!
Tupe maandiko.Kwenye maandiko matakatifu na kwa wasiojua kusoma wakatengenezewa sinema😀😀
"Jitieni nira yangu mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mnyenyekevu wa moyo." maneno ya Yesu hayo. Yesu alikuwa anasujudu, kwanini wewe hautaki kusujudu? Unafuata nira ya nani na unaifunza kwa nani?Tupe maandiko.
Hakuna uthibitisho wowote kutokana na maandiko hayo. Kuabudu sio lazima usujudu na shida ya waafrika siku zote ni kuiga vitu kutoka nje. Waafrika shida sana."Jitieni nira yangu mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mnyenyekevu wa moyo." maneno ya Yesu hayo. Yesu alikuwa anasujudu, kwanini wewe hautaki kusujudu? Unafuata nira ya nani na unaifunza kwa nani?
Ni kama wewe unavyomwona Bata au Karunguyeye jalalaniSamahani nje ya mada,Hivi UDSM mbele ya Havard au MIT inaonekanaje