Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)
Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu
matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi
Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko
Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia
Vijana nawasalimu Comasa