Maandamano ya leo ya CHADEMA yamedhihirisha unafiki wa Watanzania hasa vijana tofauti na Wakenya

Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)

Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu

matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi

Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko

Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia

Vijana nawasalimu Comasa
Aibu kubwa zaidi na unafique mkubwa ni kwa serikali na Samia mwenyewe kwa kuzuia demokrasia.
 
Tupo mstari wa mbele kwenye maswala yenye tija ndogo sana kama burudani na matamasha yasio na maana.
Mwitikio unapotika kwenye mipira na clabu za mipira za nje na ndani kutoka kwa vijana unatoa majibu ni aina gani ya vijana tulio nao fikra bna mitazamo yao na tunaweza kupata conclusion.
Vijana wa Tanzania Wameshiba hawana njaa

Pa kulala wanapo pazuri tu kwa standard zao

Chakula wana uhakika kula ulitaka wakishiba watukane serikali? Ndio maana burudani ina washabiki wengi vijana kuliko siasa kwa Tanzania

Kenya vijana wana shida kulala shida kula shida tofauti na Tanzania
 
Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)

Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu

matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi

Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko

Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia

Vijana nawasalimu Comasa
Sio kweli watu walianza kudhibitiwa na kutishwa na kukamatwa tangu Alhamisi last week
 
Polisi wa Kenya wanakatikiwa viuno na waandamanaji.
 
habari vijana wa hovyo
Mmetoka kuwatusi Walimu,Polisi,Wasukuma, Waislam,Kanda ya Kati,kanda ya ziwa,Pwani,wachungaji,Wazanzibar,Wachato...

Sasa mnahamia kuwatusi hawa vijana ambao changamoto zao nyingi Serikali inatatua tofauti na wenzao Wasokuwa na uhakika wa elimu,afya,chakula,ardhi na ajira!
 
Chadema inakufa kwa kuto kusikia mashauri wao wanapo sikia ukweli wanaukanusha kama wewe unavyo fanya hiyo ni dalili.kamili ya chama kuwa mfu
Lakini CHADEMA wamefanya sehemuvyao kama chama cha siasa wakiona kitu hakiendi sawa wanailekebisha Serikali ili ikae sawa ndio maana ya upinzani hiyo
 
Siku wakiguswa utawaona wenyewe wanaandamana. Si unaonaga machinga wanavyokiwashaga.
 
Mmetoka kuwatusi Walimu,Polisi,Wasukuma, Waislam,Kanda ya Kati,kanda ya ziwa,Pwani,wachungaji,Wazanzibar,Wachato...

Sasa mnahamia kuwatusi hawa vijana ambao changamoto zao nyingi Serikali inatatua tofauti na wenzao Wasokuwa na uhakika wa elimu,afya,chakula,ardhi na ajira!
Vijana wangeingia Road leo pengine mambo yao ya baadaye yangekuwa kitonga mseleleko tu
 
Kwenye Space ya Maria Sarungi kule X tukichangia mada utasema ni vijana shupavu wasioogopa chochote wamekinai uhai wao hadi mbowe akaona sasa ndo muda sahihi wa kuitisha maandamano sahivi kajikuta yuko lockup na watu 6 tu
 
1. Hakuna organization nzuri nakumbuka there was a time mtu yupo Marekani anaitisha maandamano Tanzania kupitia mtandao utampata nani?!!
2. Maandamano kuitishwa na Chama kimoja hata kama ni ishu ya kitaifa mtu asiye mwanachama wa hicho Chama anaona haimuhusu.
3. Polisi wa Kenya Siyo kama wa Tanzania, kumbuka waliibiwa mpaka farasi na wapo kimya tu.
4. Siasa Haina nguvu Tanzania kwasababu tumelelewa na kukua kwenye misingi ya Chama kimoja, tofauti na Kenya, Siyo rahisi kumconvince mtu mwenye mentality hiyo akuunge mkono kirahisi.
 
Ndio ujue wabongo tulivyo wanafiki
 
Kwenye mitandao wengi hawako TZ wako US na Ulaya wanaowaunga mkono ni wachache sana.

DJ Mbowe alianza kuhamasisha eti "SAMIA MUST GO" wanaojua sheria ya TZ wakamwambia huo ni uhaini utaenda kuozea mahabusi ndio akabadirisha eti akaja na slogan eti "Tunaomboleza". Nafikiri leo Chagadema watakuwa wametambua hàpa TZ hawana wanachama wa kuwawezesha kuingia Ikulu. Tuliwaambia lakini wakawa wabishi sasa wameona kwa macho yao wenyewe!
Hakika mkuu na huo ndio ukweli
 
Lakini CHADEMA wamefanya sehemuvyao kama chama cha siasa wakiona kitu hakiendi sawa wanailekebisha Serikali ili ikae sawa ndio maana ya upinzani hiyo
Tumia akili ...chadema ni genge la mafisadi na vibaraka wa mafisadi wa ndani na wa nje ya nchi hakuna mzalendo hata mmoja. Nikama zitto kabwe tu.. chama cha chadema hakina tofauti na mchawi....ambaye anajidai mwema kumbe usiku ana wanga ...
 
Kizazi hiki cha
1. Hakuna organization nzuri nakumbuka there was a time mtu yupo Marekani anaitisha maandamano Tanzania kupitia mtandao utampata nani?!!
2. Maandamano kuitishwa na Chama kimoja hata kama ni ishu ya kitaifa mtu asiye mwanachama wa hicho Chama anaona haimuhusu.
3. Polisi wa Kenya Siyo kama wa Tanzania, kumbuka waliibiwa mpaka farasi na wapo kimya tu.
4. Siasa Haina nguvu Tanzania kwasababu tumelelewa na kukua kwenye misingi ya Chama kimoja, tofauti na Kenya, Siyo rahisi kumconvince mtu mwenye mentality hiyo akuunge mkono kirahisi.
Kizazi hiki cha 2000 bado sana hakitambui labda tusubiri kizazi cha 2030 huko pengine watakuwa waelewa
 
Back
Top Bottom