Na maandamano ya Ekaristi Takatifu huko catholic.Ukiondoa waislam na wanafunzi vyuo vikuu hakuna maandamano tz bara yaliofanyika. Z
Kwa hiki nilichokiona leo kwa Watanzana hakuna kitu kitafanyika titaendelea kuburuzwa kama kondoo hakuna cha katiba mpya wa tume huru ya uchaguziWatanzania hivi ndivyo tulivyo, hata kwenye katiba Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
P
Mambo ya hovyo ndio tunapendaTupo mstari wa mbele kwenye maswala yenye tija ndogo sana kama burudani na matamasha yasio na maana.
Mwitikio unapotika kwenye mipira na clabu za mipira za nje na ndani kutoka kwa vijana unatoa majibu ni aina gani ya vijana tulio nao fikra bna mitazamo yao na tunaweza kupata conclusion.
Tuendelee kunywa mtori tu nyama tutakuta chini siku kikizaliwa kijana cha kizazi jeuri kama alivyotaka Mwalimu NyerereWatanzania hivi ndivyo tulivyo, hata kwenye katiba Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
P
Ulikuwepo mkuu?Wao waliandamana kupinga finance bill , sisi tumeandamana kupinga utekaji , kwahiyo hamna excuse
Ww mleta mada umeandamana yaani huwezi kumkosoa mwenzako alafu ww hujachukua hatua yoyote ileVijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)
Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu
matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi
Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko
Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia
Vijana nawasalimu Comasa
Mpumbavu pekee ndio atakupinga, mapinduzi yanafanywa na wananchi bila kuhusisha chama cha siasa.lakini maandamano ya gen z kenya hayakuwa na mlengo wa vyama vya siasa bali vijana waliochoka na masuala mbalimbali ikiwemo ufisadi na ukosefu wa ajira.
Katika sakata la kesi ya uhaini 1983 Luteni Eugene Maganga alipotoka Jela mwaka 1995 alisema " Watanzania watu wa kulalamika kwa kila kitu lakini hakuna YEYOTE aliwahi kuchukua hatua"Watanzania hivi ndivyo tulivyo, hata kwenye katiba Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
P
Kwenye mitandao wengi hawako TZ wako US na Ulaya wanaowaunga mkono ni wachache sana.Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)
Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu
matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi
Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko
Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia
Vijana nawasalimu Comasa
Kwani mangapi ya hovyo wamepitishwa kwenye bunge letu mbona vijana hwakuingia Road kama wa kenya? Mfano mzuri ni mswaada wa tozo za cmMaandamano ya Kenya usiyafananishe na huu upuuzi wa huku Tanzania, maandamano ya kupinga serikali yanafanywa na wananchi na sio wanasiasa.
Tulia Mkuu.Wao waliandamana kupinga finance bill , sisi tumeandamana kupinga utekaji , kwahiyo hamna excuse
IKo uchiiii mkuuuuKwenye mitandao wengi hawako TZ wako US na Ulaya wanaowaunga mkono ni wachache sana.
DJ Mbowe alianza kuhamasisha eti "SAMIA MUST GO" wanaojua sheria ya TZ wakamwambia huo ni uhaini utaenda kuozea mahabusi ndio akabadirisha eti akaja na slogan eti "Tunaomboleza". Nafikiri leo Chagadema watakuwa wametambua hàpa TZ hawana wanachama wa kuwawezesha kuingia Ikulu. Tuliwaambia lakini wakawa wabishi sasa wameona kwa macho yao wenyewe!
UKWELI NI KWAMBA HAKUNA KIJANA MWENYE AKILI TIMAMU ANAYE WEZA KUIELEWA CHADEMA KUTOKANA NA BIDII WALIYO FANYA KUPINGANA NA MZALENDO JPM WAKATI WALIJUA WAZI KUWA JPM NI MZALENDO HASWA ANAYE JALI TAIFA NA MAENDELEO ...CHADEMA ILIJIUA YENYEWE KWA KUWAUNGA MKONO MAFISADI AMBAYO JPM ALIKUWA ANAPAMBANA NAYO ...TULIWAAMBIA CHADEMA WAZI WAZI KUWA UPUMBAVU WAO UTAWA COST ...KUHUSU KENYA UNASHINDA KUJUA NI KWANINI MAANDAMANO YA GEN Z YALITOKEA NJE YA VYAMA VYA SIASA ? VYAMA VYA SIASA HAVINA TENA MVUTO KUTOKANA NA UPUMBAVU NA UFISADI WA VIONGOZI NA WANACHAMA WA HIVYO VYAMA ...MNADHANI VIJANA HAWAJUI KUWA MBOWE ALIPEWA RUSHWA NA SAMIA MARA TU BAADA YA KUTOKA JELA NA KUKUBALIANA NAYE KUMTUKANA JPM KILA KUKICHA KWENYE KAMPENI ZAKE ...TULISHUHUDIA MBOWE AKIMKASHIFU JPM NA KUMTUKUZA SAMIA ...SASA MNA WALILIA NINI VIJANA KUWA SIKIA VILIO VYENU JUU YA SAMIA AMBAYE MLIMTUKUZA NA KUMTUKANA JPM NA KUMWITA SAMIA NI MALAIKA KWENU...? NATAMKA WAZI WAZI KUWA CHADEMA NI WAPUMBAVU WALIO DHAHILI KABISAVijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)
Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu
matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi
Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko
Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia
Vijana nawasalimu Comasa
Sahihi mfano Tanzania ukishindwa maisha mjini waweza kwenda kijijini shamba ardhi iko kibaoSiyo unafiki wa vijana bali ni hali halisi. Unaingia maandamano kama unaona kweli kuna sababu ya kuingia.
Huwezi kulinganisha umaskini uliotopea wa vijana wa Kenya na wa Tanzania. Kijana yeyote wa Tanzania akijishughulisha anaweza akatoboa kutokana na fursa zilizopo nchini kwetu. Moja ya fursa ni ardhi ya kilimo.
Wakenya kijana ukizaliwa toka familia maskini utakufa maskini kwa vile ardhi yote ni mali ya matajiri waxahache
Tafuteni viongiozi wapya na vijana wenye uwezo na si hili genge la mzee Mbowe.Tupo mstari wa mbele kwenye maswala yenye tija ndogo sana kama burudani na matamasha yasio na maana.
Mwitikio unapotika kwenye mipira na clabu za mipira za nje na ndani kutoka kwa vijana unatoa majibu ni aina gani ya vijana tulio nao fikra bna mitazamo yao na tunaweza kupata conclusion.
hata wakija wengine, mtajificha kwenye keyboardTafuteni viongiozi wapya na vijana wenye uwezo na si hili genge la mzee Mbowe.