Maandamano ya leo ya CHADEMA yamedhihirisha unafiki wa Watanzania hasa vijana tofauti na Wakenya

Alirudisha zipi nawakati na kiwanda alifungua cha Taifa gas acha uongo na mpaka leo anakula faida
Ulipo kuwa unawasikia wapumbavu wa sisiemu na chadema wanadai jpm alikuwa anachukua pesa za matajiri na kufanyia miradi wewe ulidhani walikuwa wanasema hivyo kwa sababu gani ? Mafisadi yaliminywa haswa
 
Nilisha sema hakuna wa kuandamana tanzania hii na hasa kwa ujinga walio nao watanzania ingawa hii ni hatari kwakuwa inatoa mwanya kwa viongozi kupata nguvu ya kufanya chochote kwakuwa wanawajua aina ya watu walio nao
 
Wanahatarisha maisha kwa watu ambao wapo bize na Simba na Yanga. Ni kuwaacha tu wakipigika kisawasawa watazinduka na kutetea haki zao bila kuhitaji Kiongozi wa kuwasemea.
Vijana wa hovyo sana hawa hawahsjui maisha yao yako milono mwa wanasiasa
 
Kenya ni nchi ya kibepari na soko uhuria kwa hiyo ina fursa nyingi za vijana kujiajiri kuliko Tanzania
 
Ulipo kuwa unawasikia wapumbavu wa sisiemu na chadema wanadai jpm alikuwa anachukua pesa za matajiri na kufanyia miradi wewe ulidhani walikuwa wanasema hivyo kwa sababu gani ? Mafisadi yaliminywa haswa
Jpm aliiba trillion 1.5 yeye ndo fisadi papa
 
Nilisha sema hakuna wa kuandamana tanzania hii na hasa kwa ujinga walio nao watanzania ingawa hii ni hatari kwakuwa inatoa mwanya kwa viongozi kupata nguvu ya kufanya chochote kwakuwa wanawajua aina ya watu walio nao
Watanganyika ni Makondoo
 

Sio unafiki ni kwamba Watanzania wengi wamewasoma. Wapo pale kwa matumbo yao. Hakuna anayekubaliana na kuteka, angalia misimamo ya Chadema, walimchukua Lowassa, fisadi kuu, waliungana na Makamba, nape, Samia kumtukana JPM, huku wakimsifia Samia, anaupiga mwingi, kwamba tatizo ni wasukuma.

JPM aliamua kuwakabili Chadema baada ya kuona hawako kwa maslahi ya taifa, Acacia na mikataba mingine mibovu walikuwa upande wa mabeberu. Walitoa dhihaka wakimwita dikteta uchwara akaamua kuwa dicketa kamili.

JPM akaleta nidhamu serikalini, kupunguza rushwa, umeme, maji, barabara, SGR, wanasema hawataki hayo wanataka maendeleo ya watu. Hawajui wanachotaka wako tayari kuungana na wahuni wowote kwa kupata madaraka.
 
Kweli JPM alifanya vizuri kwenye kujenga na kuimalisha miundombinu ya nchi hii na kuchechemua uchumi wa nchi lakini alikuwa ni mtu asiyetaka kukosolewa wote waliokuwa wanamkosoa wakawa maadui zake

Ndipo tuhuma za mambo haya ya utekaji, kupotea kwa watu na mauaji uliposhamiri kwenye utawala wake yeye sio malaika ni lazima akosolewe
 
Nilishangaa sana kumuona binti wa Mbowe naye akiwa kwenye maandamani.
Hii ni baada ya kelele ya miaka mingi mitandaoni kuwa Mbowe anadanganya watoto wa masikini nā hali wa kwake kafungia nyumbani.

Watanzani wameridhishwa nā utendaji wa Mama Samos ndo maana hawataki kuandamana,wanajiuliza nikienda nā Mbowe kwa maandamano ndo nitapata posho ya wanangu?.
Watanzania wa sasa wameshawaelewa hawa jamaa wa kasikazini
 
Wewe umeingia lini hapa Tanzania? Kula wale wao, rungu na maji ya washa-washa tupigwe sisi.
 
Tuache kutafuta mkate wa kila siku twende kwenye maandamano?Kwani tunakula maandamano? Mbowe anapokuwa ktk maandamano ndiyo KAZI yake na inampatia mkate yeye na familia yake.
 
Tunatakiwa kubadilika ili nchi ipate katiba nzuri hata akija chizi kutawala katiba itamfinya shavuot lake akae sawa
Unaibadilije katiba bila shinikizo la nguvu ya umma? Huko ni kujindanganya inchi hii vijana bogas kabisa
 
Hakika
 

Sidhani kama hakutaka kukosolewa ila matusi, kejeli, dharau, dhihaka inafanya mambo yawe personal. Kumuita mtu mshamba yeye na kabila lake, dikteta uchwara, kila wiki Lissu alikuwa na press conference akimtukana na kupinga kila kitu hata mambo mazuri kama mkataba mpya na Barrick Gold wenye kunufaisha Taifa. Bwawa la umeme lilipingwa, SGR ilipingwa, ATCL ilipingwa, elimu bure ilipingwa kwamba ni maendeleo ya vitu sio watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…