Imepangwa kwa makusudi kwamba siku ya uichaguzi rais atakuwa Zanzibar. Kama ni kweli ni kuogopa usalama wa Bara, hili nalo ni jambo la ajabu kwa sababu majeshi yanayolinda nchi, bara na visiwani yako chini ya mkuu mmoja.
Yawezekana ni kuogopa maandamo, lakini ni hakika kwamba visiwani wao wanafurahia? Mbona ACT inapata kibano majukwani?
Yawezekana ni kuogopa maandamo, lakini ni hakika kwamba visiwani wao wanafurahia? Mbona ACT inapata kibano majukwani?