Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

Vitabu vya dini ni vitabu vya kusadikika just imagination and illusion.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Walikuwa wanaulizwa na kina Nani?
[emoji23][emoji23][emoji23] Na wakazi wa hapo soari wakati wanashika chini ya Milima kutafuta chakula, kwahiyo wale wakazi wakawa wanawauliza. Ila wao walijificha kwa juu huko ndio walikuwa wanafanya ufuska wao
 
Hitimisho,
Mwanamke anabalehe kuanzia Miaka nane(Anaanza kupata hedhi)(kwa wale wanaowahi.

Miaka 6 Bi Aisha Hakuingiliwa wala kufanya tendo la ndoa na Mtume.

Mwanasesere unaweza kucheza nae hata ukiwa na Miaka 18 kwa Wasichana ambao bado wana utoto.
 
Sijapinga Sahihi Bukhary nimekuandikia, nimekuchukulia hivyo vyote Ya sahihi Bukhar na Shia ili kukuelewesha.

Hakuna Mahali numepinga Sahihi Bukhary, huo ni uongo wako.

Nimetoa Maezo yangu juu ngoja niyarudie kabda utaelewa.
 
Kuhusu laana, ni kweli kizazi cha Lutu yaani Moabu na Waamoni ni kizazi kilichalaaniwa

2 Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana.
3 Mwamoni wala Mmoabi wasiingie katika mkutano wa Bwana; wala hata kizazi cha kumi mtu wao asiingie katika mkutano wa Bwana milele;
Kumbukumbu la Torati 23:2~3
 
Sasa nimeirudia hii bila kuweka Shia kwasababu unanilaximisha eti shia. Hapa tupo kwenye miaka 9 ya Bi Aisha usikimbie.

Nimeirudia bila kuweka Shia haya toa hoja.[emoji116][emoji116][emoji116]

In reality, however, she wasn’t six, nine, or ten. She was much older.

I’ll use the much detailed biography of her sister, Asmāʾ, to show you.

Asmāʾ was born 27 years before hijrā.

Tāhḏhib ʾal-Asmā, volume 2, page 329.

Abd ʾal-Raḥmān bin Aʾbi l-Zannād said: “Asmāʾ was 10 years older than Aisha.”

Siyār Aʾlam al-Nubalāʾ, volume 2, page 289.

ʾal-Bidāyah wan Nihāyah, volume 8, page(s) 371-381.

This means that Aisha was 17 years old in the year of hijrā,

according to their chroniclers (and historians), Aisha got married in the second year of hijrā, which would make her 19 years old at that time.

Ulikuwa unaambiwa Anzia hapo in Reality. Hiyo Shia ilikuwepo kama kionjo cha kuanzia Mada.
 
Usikimbie hoja,
USA/MAREKANI kwa wakristo wenzako mpaka leo wana Sheria katika Serikali yao, kwamba kila states inapotokea Binti wa Miaka 12 hadi 17 anapohitajika kuolewa, basi wazazi wataridhia na Wataenda Mahakamani na huyo Mwanaume kwa ajili ya kwenda kukamilisha ruhusa yao. Baada ys hapo Mahakama itaruhusu na wataoana.

Hizo States pia zina umri hata wa watoto wa kiume wakiwa na miaka 16 baadhi ya states anaweza kumuoa Msichana wa miaka kati ya 12 hadi 17 kwa ruhusa ya wazazi na mahakama.

Je, unazungumziaje katika hilo!!!
Je, Serikali ya Marekani imekosewa?

Kumbuka hizi Sheria wakati zinatungwa huwa wanashirikisha wadau ikiwemo watu wa Dini na Wazee wa kanisa kama wewe.

Jibu hapo.
 
Kwahiyo Lutu na Bintize na kizazi chao kama kimelaaniwa, Siku ya kiyama au siku ya mwisho wataenda Peponi au Motoni?

Alafu Mbona kizazi cha Moabu na Amoni mpaka leo kipo na kinaishi Jordan. Je Wale wamoabi wanaoishi Jordan nivkama Wasukuma wa Hapa Tz tu je nao wale wamelaaniwa?

Maana kizazi cha sasa cha Moabu kule Jordan imeshapita hicho kizazi cha 10. Ni zaidi ya kizazi cha 10.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Na wakazi wa hapo soari wakati wanashika chini ya Milima kutafuta chakula, kwahiyo wale wakazi wakawa wanawauliza. Ila wao walijificha kwa juu huko ndio walikuwa wanafanya ufuska wao
Dah!nashindwa hata kuwatetea mimi!
 
Kwani mtume ataenda peponi kwa kulala na mtoro mdogo au la? Nani anajua toba yao
 
Kujua kwamba umeyakuta na kuambiwa unatakiwa uamini hivi bila kuhoji...
Huo ni ukakasi tosha...
 
Kwani mtume ataenda peponi kwa kulala na mtoro mdogo au la? Nani anajua toba yao
Mtume hajalala na Mtoto Mdogo, ushahidi na maelezo yakinifi nimeweka kwenye post za juu kwahiyo usome na uelewe.

Kwahiyo Mtume Peponi atakwenda.

Sasa jibu swali langu.
 
Hizo States pia zina umri hata wa watoto wa kiume wakiwa na miaka 16 baadhi ya states anaweza kumuoa Msichana wa miaka kati ya 12 hadi 17 kwa ruhusa ya wazazi na mahakama.
Kumtetea shetani na pedophile lazima Mungu akuumbue Yani unasema mwenyewe watoto alafu unasifia ma child molester

Hitimisho
-Hakuna binadamu ambae ana miaka 6 akawa ameshakuwa mtu mzima
- Pedophile alikuwa na miaka 53 (tofauti ya umri kati ya pedophile na aisha ni 47 , ki uhalisia aisha ni mjukuu wa pedophile)
-utoto anaozungumzia aisha, aliposema alikuwa anacheza na mwanasesere na watoto wenzake ni utoto wa umri na si vinginevyo
 
Mtume hajalala na Mtoto Mdogo, ushahidi na maelezo yakinifi nimeweka kwenye post za juu kwahiyo usome na uelewe.

Kwahiyo Mtume Peponi atakwenda.

Sasa jibu swali langu.
Miaka 6 ni mtoto mkubwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Mtetezi wa ma Pedophile
 
Hii copy paste ilishasema bhukar Hadith mean nothing, sasa ukikata haukusaidii , ulisha toa Boko 😂 😂😂😂
 
Miaka 6 Bi Aisha Hakuingiliwa wala kufanya tendo la ndoa na Mtume.
Pedophile alipewa Aisha akiwa na miaka 6 alikuwa anajaribu kupiga mkuyati haupenyi mpaka alivyofikisha miaka Tisa pedophile akapenyeza mkuyati

Walikuwa mda wote wanalala kitanda kimoja kama mke na mume
 
Mwanasesere unaweza kucheza nae hata ukiwa na Miaka 18 kwa Wasichana ambao bado wana utoto.
Mtetezi wa ma pedophile unachekesha Sana 😂😂😂 Yani mtu anamiaka 18 anacheza na ma midoli na wenzake , icho ni kizazi Cha mataira au ? Na Kwa Nini au watoto walikuwa wakimuona pedophile wanajificha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…