Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
US ni nani wewe hakuna silaha asio itumia Yemen na bado Yemen anampelekea kichapoLabda marekani na washirika wake walale usingizi wa pono waiache israel ipambane peke yake na majahili hayo yanayoisaidia iran zana za kivita
Wanashabikia maana wako mbali, lakini ukiwapelekea eneo lenye changamoto huyoona wakiandika hayaKuna watu mnapenda vita sio poa
Israel anapiga Iran ili iweje. Huo ni ujinga.Israel kila kukicha analeta habari oh mara hivi mara hivi sa mbona wao wanasaidiwa na Europe na US pamoja na Warabu, mbona Iran kapiga Israel na US alikuwa anampa warning asiguse . Iran wanaume Israel hawezi gusa Iran, anajua wazi hapo ndio taifa fake la mungu wa kikristo litapotezwa.
Nafasi ndiyo hiyo, kama ana Nia na Sababu kishapata,apige tu!Kwa taarifa yako Israel ndio anaitaka hii vita kuliko iran
ni suala la muda tu, hao wahuthi wa yemeni kifinyo chao kitakujaUS ni nani wewe hakuna silaha asio itumia Yemen na bado Yemen anampelekea kichapo
Na wajeeeDJ walete
Hivi kanga hua hana manyoya?Iran 🇮🇷 ajaribu aone kilichomtoa kanga manyoya
Hiyo Jericho III Kai test wapi? Kuhusu F.35 ni Chapa ya Marekani kawadanganye wajinga wenzio Tena kwa taarifa Yako Israel ameweka order ya ndege 50 anasubiri zipo kiwandani MarekaniWewe ni mpuuzi, Jericho III ni silaha ndogo? Hujui kuwa Israel inatengeneza pia f35 zakwake mwenyewe, Israel inauzia silaha hadi nchi kibao za ulaya.
Kama hujui kuwa Israel inatengeneza ndege za kijeshi utakuwa mtoto sana kwenye haya mambo acha nikuache ujadiliane na wapuuzi wenzakoHiyo Jericho III Kai test wapi? Kuhusu F.35 ni Chapa ya Marekani kawadanganye wajinga wenzio Tena kwa taarifa Yako Israel ameweka order ya ndege 50 anasubiri zipo kiwandani Marekani
Tunaumia kwa ujinga wetu ukikubali kuwa tegemezi lazima ukubali kuumia. North Korea, Iran , China , Russia wamefika hapa walipo kwa sababu waligoma kuwa tegemezi.Haya
Haya sasa acha inyeshee tujue panapovuja daadekii.
Ila ninachoamini ni kwamba mataifa madogo kama hii yetu tutaumia mno😥😥
Una maanisha hapa jf??Kuna watu mnapenda vita sio poa
Hao machoko wa Israel watume hata risasi Iran waone kipigo kitakatifuKwa taarifa yako Israel ndio anaitaka hii vita kuliko iran
Umesema Israel inatengeneza F - 35 ndio nikakukatalia kama ni suala la ndege zozote anaweza kutengeneza lakini siyo Chapa F 35 .hata Tanzania tunatengeneza usibadili GIA angani.Kama hujui kuwa Israel inatengeneza ndege za kijeshi utakuwa mtoto sana kwenye haya mambo acha nikuache ujadiliane na wapuuzi wenzako
Mlisema akijaribu kuingia Gaza amekwisha akaingiaIsrael akijaribu kuipiga Iran amekwisha. Huu ni mtego ambao Iran anautamani sanaa
ndio world war hiyo. naona na sisi tushaichagua Iran !Israel akijaribu kuipiga Iran amekwisha. Huu ni mtego ambao Iran anautamani sanaa
Kuhusu Ukraine Ukraine Hali yake ni mbaya anachezea kichapo cha hatari. Halafu kwa sasa Urusi anajiandaa kuingia vita na Marekani indirect kupitia Iran na tayari keshapokea askari 12000 kutoka Korea kaskani kwajili ya kushika doria Ukraine wakati anamtandika mmarekani.Mbona ni kama hizo S-400 zime prove failure pale Crimea kwenye hii vita ya Russia na Ukraine?
Nadhani hapo Russia na China wamefanya business!
Huenda Mashambulizi ya Israel yatatokea ndani ya Iran yenyewe!
Iran haitajua,itakuja kuona matokeo tu ya uharibifu uliofanywa ndani ya maeneo muhimu!
Hezbollah, Houth , Hamas wote hao ni vijana wa Iran wanapambania na wanamwaga moto balaaMlisema akijaribu kuingia Gaza amekwisha akaingia
Akiingia Lebanon kaisha akaingia
Akiwapiga Houthi kaisha akawapiga
Ni suala la muda tu myahudi hashindwi kitu
Ya zamani mkuu nilikua naitwa Sir John Roberts ila wagalatia wenzangu wakaanza kuniandama sana eti kwanini siisapoti Israel wakati avatar yangu ina jina la kigalatia sasa kwahasira nimemua kumuenzi mwamba Sinwar JF ukitaka unabadilisha tu hamna complicationsMkuu hii id ya zamani au mpya?