Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Israel kila kukicha analeta habari oh mara hivi mara hivi sa mbona wao wanasaidiwa na Europe na US pamoja na Warabu, mbona Iran kapiga Israel na US alikuwa anampa warning asiguse . Iran wanaume Israel hawezi gusa Iran, anajua wazi hapo ndio taifa fake la mungu wa kikristo litapotezwa.
Israel anapiga Iran ili iweje. Huo ni ujinga.

Yeye ashughulikie Hezibolaa na Hamasi. Kupiga Iran hakuna faida yeyote.
 
Wewe ni mpuuzi, Jericho III ni silaha ndogo? Hujui kuwa Israel inatengeneza pia f35 zakwake mwenyewe, Israel inauzia silaha hadi nchi kibao za ulaya.
Hiyo Jericho III Kai test wapi? Kuhusu F.35 ni Chapa ya Marekani kawadanganye wajinga wenzio Tena kwa taarifa Yako Israel ameweka order ya ndege 50 anasubiri zipo kiwandani Marekani
 
Hiyo Jericho III Kai test wapi? Kuhusu F.35 ni Chapa ya Marekani kawadanganye wajinga wenzio Tena kwa taarifa Yako Israel ameweka order ya ndege 50 anasubiri zipo kiwandani Marekani
Kama hujui kuwa Israel inatengeneza ndege za kijeshi utakuwa mtoto sana kwenye haya mambo acha nikuache ujadiliane na wapuuzi wenzako
 
Haya

Haya sasa acha inyeshee tujue panapovuja daadekii.
Ila ninachoamini ni kwamba mataifa madogo kama hii yetu tutaumia mno😥😥
Tunaumia kwa ujinga wetu ukikubali kuwa tegemezi lazima ukubali kuumia. North Korea, Iran , China , Russia wamefika hapa walipo kwa sababu waligoma kuwa tegemezi.
 
Kama hujui kuwa Israel inatengeneza ndege za kijeshi utakuwa mtoto sana kwenye haya mambo acha nikuache ujadiliane na wapuuzi wenzako
Umesema Israel inatengeneza F - 35 ndio nikakukatalia kama ni suala la ndege zozote anaweza kutengeneza lakini siyo Chapa F 35 .hata Tanzania tunatengeneza usibadili GIA angani.
 
Mbona ni kama hizo S-400 zime prove failure pale Crimea kwenye hii vita ya Russia na Ukraine?
Nadhani hapo Russia na China wamefanya business!
Huenda Mashambulizi ya Israel yatatokea ndani ya Iran yenyewe!
Iran haitajua,itakuja kuona matokeo tu ya uharibifu uliofanywa ndani ya maeneo muhimu!
Kuhusu Ukraine Ukraine Hali yake ni mbaya anachezea kichapo cha hatari. Halafu kwa sasa Urusi anajiandaa kuingia vita na Marekani indirect kupitia Iran na tayari keshapokea askari 12000 kutoka Korea kaskani kwajili ya kushika doria Ukraine wakati anamtandika mmarekani.
 
Mkuu hii id ya zamani au mpya?
Ya zamani mkuu nilikua naitwa Sir John Roberts ila wagalatia wenzangu wakaanza kuniandama sana eti kwanini siisapoti Israel wakati avatar yangu ina jina la kigalatia sasa kwahasira nimemua kumuenzi mwamba Sinwar JF ukitaka unabadilisha tu hamna complications
 
Back
Top Bottom