Nickson francis
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 700
- 1,306
Ndiomaana nimekwmbia wewe ni mpumbavu kama hujui Israel pia inatengeneza f35,Umesema Israel inatengeneza F - 35 ndio nikakukatalia kama ni suala la ndege zozote anaweza kutengeneza lakini siyo Chapa F 35 .hata Tanzania tunatengeneza usibadili GIA angani.
Serikali ya Tanzania kwa sababu inaunga mkono mapambano ya wapalestina kudai uhuru kutoka Israel tunaweza kuchukulia kuwa sisi tinaiunga Mkono Iran.ndio world war hiyo. naona na sisi tushaichagua Iran !
Hezbullah ataiweza wapi hio ni ndoto hivi wamerudisha watu wao North au ndio wamezidi kukimbia nasikia nusu Haifa pia wameisha kimbiaIsrael anapiga Iran ili iweje. Huo ni ujinga.
Yeye ashughulikie Hezibolaa na Hamasi. Kupiga Iran hakuna faida yeyote.
Dogo mbona unakua mbishi hata kuingia google tu kupata taarifa huwezi?Ndiomaana nimekwmbia wewe ni mpumbavu kama hujui Israel pia inatengeneza f35,
Mlisemaga hivyo hivyo kuhusu kuingia Lebanon, sasa hivi Taifa teule lina jipigia tuu huko na linaamua nani afe. Hivi yale magaidi ya Hamas yame mteua nani tumpe R. I. P in advance make tuna mambo mengi?Israel kila kukicha analeta habari oh mara hivi mara hivi sa mbona wao wanasaidiwa na Europe na US pamoja na Warabu, mbona Iran kapiga Israel na US alikuwa anampa warning asiguse . Iran wanaume Israel hawezi gusa Iran, anajua wazi hapo ndio taifa fake la mungu wa kikristo litapotezwa.
😂😂😂 sasa kama hakupigwa sahizi anajiandaa kulipiza Nini kwa Iran? Anakaa vikao ambavyo haviishi mpaka Leo tarehe 19 anajiandaa kulipiza je anataka kulipiza kitu gani?Israel ana access na technology zote za USA 🇺🇸 acha ushamba na kujidanganya unasema Israel ilitwangwa October 1 nani alikufa kwenye kutwangwa??
Iran ilishindwa kumlinda gaidi Ismail Haniya akiwa Tehran unadhan Israel inashindwa kumuua Khamenei!!!
Weka ngomaaaa mamamamamamamamamaaaaaa.DJ walete
Balistic 200 zikaua mplalestina mmoja, paka 2 na kuchimba mashimo. What a loss?Iran hasaidiwi silaha ila ana exchange na mataifa mengine. Zile shahed drones zinazowatungua wayukrein kule Russia zinatoka Iran. Zile ballistic missiles alizowatwanga waisraeli Oktober 1 zinatengenezwa Iran. Kwahiyo Iran kwa sasa anaongeza nguvu na mataifa mengine ili kukabiliana na marekani na NATO ambao wanaisaidia Israel.
Nyinyi na nani? Labda kobazindio world war hiyo. naona na sisi tushaichagua Iran !
JIDANGAAAAANYE!Kwa taarifa yako Israel ndio anaitaka hii vita kuliko iran
Ajaribu mara ngapi?Iran 🇮🇷 ajaribu aone kilichomtoa kanga manyoya
Israeli hatoagi taarifa za madhara ya kipigo anachopewa hata siku 1 ni mbinu ya kumdhoofisha adui ila wewe kwa sababu ni mjinga ukiambiwa ballistic imepiga target lakini imeua paka tu unaamini.Balistic 200 zikaua mplalestina mmoja, paka 2 na kuchimba mashimo. What a loss?
Wewe ndo mjinga unadhani hako ka Iran kana mapenzi na Israel hata kasiue myahudi kama kangepata hata dakika 1? Common sense is not common.Israeli hatoagi taarifa za madhara ya kipigo anachopewa hata siku 1 ni mbinu ya kumdhoofisha adui ila wewe kwa sababu ni mjinga ukiambiwa ballistic imepiga target lakini imeua paka tu unaamini.
hujaona mamikataba kibaaao mnasaini na Iran?Nyinyi na nani? Labda kobazi
na hatari yake sio ya dunia hiiSerikali ya Tanzania kwa sababu inaunga mkono mapambano ya wapalestina kudai uhuru kutoka Israel tunaweza kuchukulia kuwa sisi tinaiunga Mkono Iran.
Hata nato wana mtaamaniIsrael akijaribu kuipiga Iran amekwisha. Huu ni mtego ambao Iran anautamani sanaa
Justification alipata baada ya kiongozi mkuu wa hamas ismail haniyeh kuwawa tehran mbona ameshindwa mpaka sasa kuingia front? Kobazi hovyo kabsa weweIran anatafuta justification ya kuingia front direct na Israel ila kwasababu hamna akili hamuwezi elewa.
Zile S-400 ambazo daily Israel alikiwa anazitekenya pale Syria hadi Urusi kukasirika akidai kwanini Israel haikumtaarifu kuwa atashambulie ili auzime kwanza😅Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.
Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
kutoka russia na china 😀 🙄Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.
Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747