Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Ndiomaana nimekwmbia wewe ni mpumbavu kama hujui Israel pia inatengeneza f35,
Dogo mbona unakua mbishi hata kuingia google tu kupata taarifa huwezi?
Screenshot_20241020-173926.png
Screenshot_20241020-173917.png
 
Israel kila kukicha analeta habari oh mara hivi mara hivi sa mbona wao wanasaidiwa na Europe na US pamoja na Warabu, mbona Iran kapiga Israel na US alikuwa anampa warning asiguse . Iran wanaume Israel hawezi gusa Iran, anajua wazi hapo ndio taifa fake la mungu wa kikristo litapotezwa.
Mlisemaga hivyo hivyo kuhusu kuingia Lebanon, sasa hivi Taifa teule lina jipigia tuu huko na linaamua nani afe. Hivi yale magaidi ya Hamas yame mteua nani tumpe R. I. P in advance make tuna mambo mengi?
 
Israel ana access na technology zote za USA 🇺🇸 acha ushamba na kujidanganya unasema Israel ilitwangwa October 1 nani alikufa kwenye kutwangwa??
Iran ilishindwa kumlinda gaidi Ismail Haniya akiwa Tehran unadhan Israel inashindwa kumuua Khamenei!!!
😂😂😂 sasa kama hakupigwa sahizi anajiandaa kulipiza Nini kwa Iran? Anakaa vikao ambavyo haviishi mpaka Leo tarehe 19 anajiandaa kulipiza je anataka kulipiza kitu gani?
 
Iran hasaidiwi silaha ila ana exchange na mataifa mengine. Zile shahed drones zinazowatungua wayukrein kule Russia zinatoka Iran. Zile ballistic missiles alizowatwanga waisraeli Oktober 1 zinatengenezwa Iran. Kwahiyo Iran kwa sasa anaongeza nguvu na mataifa mengine ili kukabiliana na marekani na NATO ambao wanaisaidia Israel.
Balistic 200 zikaua mplalestina mmoja, paka 2 na kuchimba mashimo. What a loss?
 
Israeli hatoagi taarifa za madhara ya kipigo anachopewa hata siku 1 ni mbinu ya kumdhoofisha adui ila wewe kwa sababu ni mjinga ukiambiwa ballistic imepiga target lakini imeua paka tu unaamini.
Wewe ndo mjinga unadhani hako ka Iran kana mapenzi na Israel hata kasiue myahudi kama kangepata hata dakika 1? Common sense is not common.
 
Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.

Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
Zile S-400 ambazo daily Israel alikiwa anazitekenya pale Syria hadi Urusi kukasirika akidai kwanini Israel haikumtaarifu kuwa atashambulie ili auzime kwanza😅
 
Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.

Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
kutoka russia na china 😀 🙄
 
Dunia nzima inachojua Iran kaitandika direct Israel kipigo kitakatifu mara mbili bila majibu.

Thnachosubiri ni Israel ajaribu kujibu direct halafu akutane na zahma ya Muajemi maana huwa akiahidi wala hapindishi lazima akutwange kwelikweli.

Iran ameshaweka wazi Israel akijaribu kujibu tu atakutana na majibu yatakayoiacha dunia kwenye mshangao.
 
Back
Top Bottom