Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Hao askari 12000 kutoka NK wamekuja kuongeza nguvu baada ya wanajeshi wengi wa kirusi kuwa canon fodder pale Uk haha kobazi hovyo wewe
 
Ukiisoma hiyo habari inaonekana kama Israel inalalamika? Again, reporter wa hiyo habari ni chombo cha habari na sio serikali; hilo lina shida gani?
 
Mbona amejibu sana tu indirect tena kupitia vifo vya viongozi proxy za iran kina nasrallah haniyeh sinwar nk
Uko kambi gani hapo gaza kwa lulenge
 
JIDANGAAAAANYE!
Ndio nakuambia sasa ngoja Trump aingie kesho kutwa jamaa wanaona muda wa kumalizana na Iran ni sasa so anachotafuta ni kutibua ili marekani aingilie. Tutakaopata shida nini sisi kwa taarifa yako wala sio wao. Maana ule mlango bahar wa homz unassfirisha asilimia 20 ya mafuta yote duniani. Wanaofanya biashara ya kusafirisha mizigo nje au kuleta wananielewa hasa muda huu kampuni za meli zilivyopandisha bei ya usafiri. Huu ushabiki maandaz wala hautasaidia chochote ukikosa hela ya kulipia ada wanao.
 
Wewe ndo mjinga unadhani hako ka Iran kana mapenzi na Israel hata kasiue myahudi kama kangepata hata dakika 1? Common sense is not common.
Kwahiyo Yale mashambulizi tuliyoshuhudia Oktoba 1 yamepiga wapi? Maana moto tumeuona sasa wewe unaejua tuambie ule moto ulikuwa unawaka wapi ndani ya Israel.
 
Nikuulize kitu?
Unaweza ukanitajia majenerali angalau wawili wa Israel waliokwisha uwawa na Hizbullah?
 
Hii ni hatari sana
 
Hauna akili
 
Hiyo Taarifa imetolewa na Chombo cha Habri cha Israel Maariv. Huo ni ushahidi kwamba Iran na yale mataifa mengine ya Kiarabu hapo Middle East hawana kitu ambacho Israel hakijui. Tukumbuke Neta aliwahi kusema Hakuna kilichojificha au hakijulikani na hakuna mahali popote Israel hawezi kufika ndani ya mataifa hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…