Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

Kuhusu Ukraine Ukraine Hali yake ni mbaya anachezea kichapo cha hatari. Halafu kwa sasa Urusi anajiandaa kuingia vita na Marekani indirect kupitia Iran na tayari keshapokea askari 12000 kutoka Korea kaskani kwajili ya kushika doria Ukraine wakati anamtandika mmarekani.
Hao askari 12000 kutoka NK wamekuja kuongeza nguvu baada ya wanajeshi wengi wa kirusi kuwa canon fodder pale Uk haha kobazi hovyo wewe
 
Israel kila kukicha analeta habari oh mara hivi mara hivi sa mbona wao wanasaidiwa na Europe na US pamoja na Warabu, mbona Iran kapiga Israel na US alikuwa anampa warning asiguse . Iran wanaume Israel hawezi gusa Iran, anajua wazi hapo ndio taifa fake la mungu wa kikristo litapotezwa.
Ukiisoma hiyo habari inaonekana kama Israel inalalamika? Again, reporter wa hiyo habari ni chombo cha habari na sio serikali; hilo lina shida gani?
 
Dunia nzima inachojua Iran kaitandika direct Israel kipigo kitakatifu mara mbili bila majibu.

Thnachosubiri ni Israel ajaribu kujibu direct halafu akutane na zahma ya Muajemi maana huwa akiahidi wala hapindishi lazima akutwange kwelikweli.

Iran ameshaweka wazi Israel akijaribu kujibu tu atakutana na majibu yatakayoiacha dunia kwenye mshangao.
Mbona amejibu sana tu indirect tena kupitia vifo vya viongozi proxy za iran kina nasrallah haniyeh sinwar nk
Uko kambi gani hapo gaza kwa lulenge
 
JIDANGAAAAANYE!
Ndio nakuambia sasa ngoja Trump aingie kesho kutwa jamaa wanaona muda wa kumalizana na Iran ni sasa so anachotafuta ni kutibua ili marekani aingilie. Tutakaopata shida nini sisi kwa taarifa yako wala sio wao. Maana ule mlango bahar wa homz unassfirisha asilimia 20 ya mafuta yote duniani. Wanaofanya biashara ya kusafirisha mizigo nje au kuleta wananielewa hasa muda huu kampuni za meli zilivyopandisha bei ya usafiri. Huu ushabiki maandaz wala hautasaidia chochote ukikosa hela ya kulipia ada wanao.
 
Wewe ndo mjinga unadhani hako ka Iran kana mapenzi na Israel hata kasiue myahudi kama kangepata hata dakika 1? Common sense is not common.
Kwahiyo Yale mashambulizi tuliyoshuhudia Oktoba 1 yamepiga wapi? Maana moto tumeuona sasa wewe unaejua tuambie ule moto ulikuwa unawaka wapi ndani ya Israel.
 
Netanyahu ndio anatakiwa kuishi kwenye mahandaki maisha yake yote si umeona Jana imemkosa kosa drone nyumbani kwake alikua bustanini angekua ndani sahizi tungekua tunaongea mengine. Na hao ni Hezbollah tu vijana wa Iran sasa unaweza ku assume Iran wenyewe uwezo wao uko je.
Nikuulize kitu?
Unaweza ukanitajia majenerali angalau wawili wa Israel waliokwisha uwawa na Hizbullah?
 
Hii ni hatari sana
Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.

Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
 
Hahahahaahah kama wa Quds Ismail kaani yupo wapi??
Uko late sana iran inalilia kusimamisha vita kati ya Israel na Hisbollah maana Israel wameua viongozi wote wa Hisbollah na huyo Ayatollah asipokuwa makini atauawa. Iran hata kumlinda rais wake tu walishindwa
Hauna akili
 
Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.

Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
Hiyo Taarifa imetolewa na Chombo cha Habri cha Israel Maariv. Huo ni ushahidi kwamba Iran na yale mataifa mengine ya Kiarabu hapo Middle East hawana kitu ambacho Israel hakijui. Tukumbuke Neta aliwahi kusema Hakuna kilichojificha au hakijulikani na hakuna mahali popote Israel hawezi kufika ndani ya mataifa hayo.
 
Back
Top Bottom