Maaskofu na Mashekhe: Tunataka tume huru ya Kijaji kuchunguza matukio yanayoendelea Tanzania kati ya Serikali na Chama cha Upinzani

Waliomo humu ni wawakilishi wa wananchi, hata huko mtaani ni hivi hivi sema hawaruhusiwi kuongea, ccm wanalijua hili ndiyo mana umeona walichofanya kwenye uchaguzi mdogo. Swali kwako, kwani ccm wanazuiliwa kujiunga? Mbona mpo tu wengi sema wengi wenu ni wale wa buki saba(Yaani wale wa malipo). Ila kwa mtu wakawaida hawezi kupoteza muda wake kuwa humu akitetea ccm bila malipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya hao asiwemo hata mmoja wa walioteuliwa na Jiwe.Ni mapandikizi!
 
Nyie jidanganyani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maaskofu chadema ,pathetic
 
Askari anapo kua anafundishwa kupamba na adui kitu chakwanza anatakiwa amzoofishe adui yake kabla hajammaliza so nafikiri Una jua nn maana ya kumzoofisha mtu ndiomana askar anapo jiham lazima angalia sehemu muhim za mwil usitegemee kufanya vurugu alafu utoke mzima
Hata tukikubaliana wana kosa, kuna sheria inayosema aliyekosea anastahili adhabu ya kupigwa, kuvunjwa mikono au kuuawa, na adhabu hiyo inatolewa na askari magereza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi tenganisha udini ukaskazini na chadema
 
Wanasema majaji wastaafu wanaweza kutokuwa na upendeleo wakitoa report yao pia wameonya iwapo haitafanyika na kutoa haki sawa kwa wote taifa litagawanyika
Hapo ndipo wamekosea kuliko hata ilivyo sasa hivi. Hao hao majaji wastaafu si ndo wanatamani hata kuchaguliwa kwenye tume tume hizo?? Sasa wakikalia huyo mteuaji kooni watakula nini?? Hukuona yule aliyemaliza muda wake akachukua fomu kwa chama twawala ya kuomba urais?? Tume huru labda itoke nje ya nchi
 
Ingekuwa sio huru huyo Mbowe wenu angeshinda?
 
nchi ishagawanywa tayari na siasa chafu za huyu mchungang’ombe
 
Wataelekea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Askari kumpiga mbunge, tena mbunge mwanamke, ni jambo linalowezekana katika uongozi wa kusikitisha. Wasipochukuliwa hatua basi tutajua uhayawani huu una baraka za serikali.

Maaskofu wanao wajibu wa kukemea maovu. Na awamu hii polisi na wasiojulikana wananuka maovu.
 
Kuna udini mkubwa chadema. Kila siku maaskofu halafu walewale kama sio munga basi shoo au yule mwingine
Wewe hauna dini? kama unayo mbona unaendelea kutetea chama chako, basi na huko kuna udini kwan wanaokitetea tunaona kila siku makanisa na misikitini.
 
Ukiiongelea vibaya chadema au mtu wa chadema wanakupiga ban kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss! Mimi bila hata kupepesa naweza kusema wote waliokuwa kwenye huo msafara wa magereza ni wapuuzi wakubwa. UNachoandika ni kama unaamini nchi nzima kila kitu ni ofisi ya siasa. unaanza kuuliza walikuwa na nini, bila hata kujua wewe ni CHDEMA au CCM, ulishafika eneo la gereza bila kuulizwa unatafuta nini? Wazimu gani uliwatuma kuamini CHADEMA ni sehemu ya utawala wa Magereza?

Kambi za majeshi zote hazifanyiwi mzaha. Waweza kuandamana mahakamani lakini kwa upuuzi wa kwenda magereza walichokipata ni pungufu ya walichostahili kupata. Kuna nini Magereza hadi uende kwa maandamano? Mbowe ni mashuhuri kuliko Mandela? Uliwaona ANC wakiandamana kumpokea Mandela nje ya gereza? Wangemsubili ofisini kwao asingefika? KIla jambo linafanywa ni sehemu ya kampeni za siasa, Nonsense! Walionesha ubovu wa akili yao na kutafuta ushujaa wasiokuwa nao.
 
Wako ktk ajira acheni waendelee. Huo wizi wa makanisani wameumaliza au wanaona ni sehemu ya utawala wa Mungu? Wanaikumbusha serikali! Wao Kanisani mambo yanakwenda vizuri? Ukabila tu unawasumbua. Kila siku ni wale wale, wanajiita kanda ya wapi sijui! Waislamu je, wao wanaamini nchi hii ni ya wakristu wa kaskazini tu!
 
Mhalifu ni mhalifu haijalishi Ni ke au me hata akiwa shemale Ni mhalifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Chadema+maaskofu wa kaskazini = udini na ukaskazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…