Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

Lakini kwenye waraka wao walikuwa hawakubaliani na uwekezaji kabisa bali walisema wanaamini kuwa watz wanauwezo wa kuendesha bandari wenyewe.
Sio mara zote unapata unachohitaji wakati fulani kwenye maamuzi tuna weka sababu nyingi lakini kuna zile tunaita za msingi. Kama yale ya msingi yametendewa kazi basi bushra ni vyema ikatumika
 
Sasa mikataba ndiyo inaanza.
Mtu anaweza kuhoji ni mkataba wa shilingi ngapi??
Ule wa awali ni makubaliano ya jumla.
Sasa ni kipande kwa kipande.
Pole sana Mwabukusi na TAL kwa umbumbu wenu
 
Kwani bado serikali inachanganya dini na siasa? Walisema maaskofu wasichanganye dini na siasa.
 
Hiyo siyo Siri mkuu. Rais alipokuwa ziarani nadhani kama Singida ametoa milioni 100
Hakuwapa maaskofu usilete uhuni hapa, rais alitoa mchango wa ujenzi huko singida. Hakutoa TEC ili maaskofu wagawane.
 
Yuko ,Yuko marekani kikazi mwanasheria wa wakitanzania msema kweli kipenzi Cha watu

Kiboko ya ccm na dawa ya mchwa waliopo ccm ndg yetu

Tundu Antipas LISU tutajua tu
Maaskofu ikiwa wamekubali kuunga mkono mkataba wa DPW....,...INAWAPASA KUANDIKA WARAKA KWA WAUMINI WAO.....ukionyesha kukubali kwao na sababu ya kuukuba sababu awali ....WALIUKATAA KABISAAAA....,na WARAKA HUO Usomwe week 6 kama ule wa awali....,Ikipita kimya kimya....WATAKUWA hawana tofauti na bumunda au Zitwe au Prof Lupumba.......NA NUSU YA WAUMINI WATAACHA KUSALI
 
Wamehudhuria sababu Hangaya na genge lake walirekebisha mkataba!
Sasa wangeturudia makanisani na kutueleza kuwa, zile kasoro zimefanyiwa kazi. Nimejicheka na kujidharau sana. Sisi leo kanisani kwetu, tumekomaa na mkataba wa DPW kumbe U turn imeshapigwa kitambo sana.

Funzo nililolipata ni kuwa, sitashabikia kitu kwa kufuata mkumbo wa Viongozi wa dini au wanasiasa au wanaharakati. Chochote kile nitakuwa nasoma mwenyewe, akili ikiniambia okay..naifuata. Na ikiniambia, no..naifuata.

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Sawa
 
Na ikiwa matakwa na matarajio yao na ya Watanzania yamefanyiwa kazi Kuna dhambi gani.
 
Punguza uzushi, walichotaka kwenye mkataba kimezingatiwa na ndio maana wakaudhuria, Ukomo wa mkataba, kujitoa wakati wowote, kutopewa gati zote kampuni moja nk.
 
Maoni yao na ya wadau wengine yamezingatiwa kwenye mikataba hii,ni kwa mujibu wa kauli ya Rais Samia. Serikali imetumia kauli ya tafsida kuwa wamejirekebisha, ule wa kwanza waliingizwa chaka.
 
Maoni ya Tec yamezingatiwa vilivyo na kwa ufupi Serikali imewasikiliza, soma waraka vizuri utaelewa tec walitaka nini.
Kama maoni yamezingatiwa basi waandaye waraka mpya, wenye mkataba mpya uliyorekebishwa vinginevyo hayo niliyoyaorodhesha yatawahusu.
 
Hakuna cha marekebisho wala nini. wao waraka wao ulikuwa ni Bandari wasipewe wawekezaji na sio marekebisho Mama Ni strong sna. wamenyweaaa usicheze na mamlaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…