Pesa zinakusanywa kisheria na sio kwa hisani ya wanaccm. Ww ni wale wajinga ambao miradi ikijengwa kwa pesa za wananchi unasema ni rais kajenga. Kwa taarifa yako hata ikiingia serekali ya kijeshi kwa kupindua nchi, bado itakusanya kodi kisheria.sasa kama utawala uliopo ni haramu, wakitenga fedha za Mabadiliko ya Katiba, wanaofanya hilo zoezi la kutenga hizo fedha, hawatakuwa wanafanya zoezi haramu ?
Je, Chadema wapo tayari kushiriki matumizi ya Bajeti iliyopitishwa na Bunge wanalosema limetokana na uchaguzi haramu?
na Je, Chadema watakapokuwa wanapewa ruzuku, watakubali kupokea fedha zilizokusanywa na watawala wanaoitwa watawala haramu
cc ShesRise_1
Wewe mjinga mwingine mwenye umeme mdogo kichwani. Sijui kama unaelewa hizo takataka unazoiita sheria zinatungwa na bunge ambalo nyinyi nyumbu hamlitambui.Pesa zinakusanywa kisheria na sio kwa hisani ya wanaccm. Ww ni wale wajinga ambao miradi ikijengwa kwa pesa za wananchi unasema ni rais kajenga. Kwa taarifa yako hata ikiingia serekali ya kijeshi kwa kupindua nchi, bado itakusanya kodi kisheria.
Ni sawaPesa ni kodi za wananchi
Waache kujikuta sasa.Kijana taratibu basi inatosha kwa leoπ
Mimi sina chama nawafatilia kwa umakini ili nichague upande πWaache kujikuta sasa.
Mimi ni chadema in blood japo mazingira yangu ya kazi hayaniruhusu kuwa huko ila sio chadema lialia au chadema nyumbu.Mimi sina chama nawafatilia kwa umakini ili nichague upande π
Naomba kazi hapo kazini kwenuπMimi ni chadema in blood japo mazingira yangu ya kazi hayaniruhusu kuwa huko ila sio chadema lialia au chadema nyumbu.
NgumuNaomba kazi hapo kazini kwenuπ
Sina kingine cha kuomba πNgumu
Omba kingine
EeeeehSina kingine cha kuomba π
Gudubaiiii tuna trendisha uzi na hakuna cha maana tunaongeaEeeeeh
Omba hata namba yanguπ
HaleluyahCHADEMA will always come out clean and more powerful πͺπΏβπΏβπΏ
Hata Afrika kusini enzi za kina Mandela wazungu ndio walikuwa wanatunga sheria na watu waliziona ni za kipuuzi tu.Wewe mjinga mwingine mwenye umeme mdogo kichwani. Sijui kama unaelewa hizo takataka unazoiita sheria zinatungwa na bunge ambalo nyinyi nyumbu hamlitambui.
Kwani TRA ndiyo waliiba uchaguzi na kutekeleza mauaji ya halaiki??Ni sawa
Lakini zimekusanywa na utawala haramu.
Au uharamu wao ni kwenye mambo mengine ila kwenye matumizi na mgao wa pesa hakuna uharamu?
πusiwe unasoma ili ujibu, soma elewa tafakari kisha jibu.
kama una umeme mdogo kaa mbali.
OkayKwani TRA ndiyo waliiba uchaguzi na kutekeleza mauaji ya halaiki??
Hizo pesa siyo za Wahuni, ni za umma, so ni halali
Wewe umeme wako ni low voltage huwezi kujibu hayo maswali.
Unaendelea kuonyesha upumbavu wako ulivyo mkubwa.Wewe umeme wako ni low voltage huwezi kujibu hayo maswali.