Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Pesa zinakusanywa kisheria na sio kwa hisani ya wanaccm. Ww ni wale wajinga ambao miradi ikijengwa kwa pesa za wananchi unasema ni rais kajenga. Kwa taarifa yako hata ikiingia serekali ya kijeshi kwa kupindua nchi, bado itakusanya kodi kisheria.sasa kama utawala uliopo ni haramu, wakitenga fedha za Mabadiliko ya Katiba, wanaofanya hilo zoezi la kutenga hizo fedha, hawatakuwa wanafanya zoezi haramu ?
Je, Chadema wapo tayari kushiriki matumizi ya Bajeti iliyopitishwa na Bunge wanalosema limetokana na uchaguzi haramu?
na Je, Chadema watakapokuwa wanapewa ruzuku, watakubali kupokea fedha zilizokusanywa na watawala wanaoitwa watawala haramu
cc ShesRise_1