Hahaaaaa... Hakuna mkate mgumu mbele ya chai sioMie mgumu kweli kuacha hela yangu mahala, ila ma baamedi wananijulia akili yangu nafanywa kuwa mtoto kabisaa.. najikuta kwa huduma naacha tip.. wana akili ya kucheza na saikolojia za wateja wao
Atalipa nini kama hana?Asilimia kubwa ya wanaoenda baani ni watu wenye msongo wa mawazo; sasa msongo ukipata tiba ya malaya wa baa, pesa lazima utoe, utake usitake. Ni sawa na mgonjwa wa saratani, akapona ghafla. Hata umwambie alipe dolaz milioni, atazilipa hata kama hana!
^Car-taaWar-who-knee^
Umefuatilia nini na findings zako ni zipi?Km kichwa cha hbr kilivo hapo juu. Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeniii...
Nimekua nikiwafatilia kwa muda sasa naweza kukiri kwa kinywa changu kabisa...
Hawa watu wakiwa kwenye majukumu yao ni watu makini na wanatumia akili nyingi sn...
Km unakubaliana na utafiti wangu hebu tueleze kisa au tukio ambalo linaonesha hawa watu wanachukuliwa poa lkn wako viwango vya juu sn kuliko hata yule mzee mwenye file milembe.
NAWASILISHAAA😀😀
Acha mboyoyo mkuu tupe kisa au tulio... Azawaizi pita fastaaaa acha umburulaUmefuatilia nini na findings zako ni zipi?
Jaribuni kupandisha nyuzi zinazoendana na standards na quality za JF na siyo kama kwenye makampuni ya Meta pumba zote zipo huko.
Baa medi akimuona mwanaume anajua unapenda nini, ndio maana wanavunja ndoa za watu.. mie kuna mahala nimejikuta napenda kwenda yaani hata kumuona tu roho yangu kwatu, 😁😁😁Hahaaaaa... Hakuna mkate mgumu mbele ya chai sio
Angetoa mifano, tujue nani mwenye akili ni yeye au hao barmaids/kondakta.Umefuatilia nini na findings zako ni zipi?
Jaribuni kupandisha nyuzi zinazoendana na standards na quality za JF na siyo kama kwenye makampuni ya Meta pumba zote zipo huko.
Usidhani humu kila mtu ana akili za shake well before use.Acha mboyoyo mkuu tupe kisa au tulio... Azawaizi pita fastaaaa acha umburula
TUKIO NALOKUMBUKA MIMI NI LA MAKONDA KUWATAJA WAUZA UNGA WA DAR