Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Lete habbarDaaaa.. Boss
Hahaaaa...... Wana mbinu nyinge mbadala. Bahati mbaya walevi hata wakijua mbinu wakimywa wanasahau na kuendelea na maisha yao.....Kuna barmaid mmoja hapa mwanzo mwanzo wa shekilango upande wa Ubungo amekiri hawezi kuacha kazi ya ubaamed kwani inalipa sana. Kwa siku hakosi elfu 20 na kuendelea. Anachotanya Ni kuhudumia meza yenye watu wapenda misifa.
Akipata meza yenye watu watano au zaidi ndio vizuri zaidi. Yeye hua analeta bili sahihi kabisa Ila bili hiyo hiyo watailipa watu watatu au wanne.
Unajua bili ikija mezani walevi kabla ya kutoa hela wanauliza kila mmoja alichokunywa. Wakiona Ni sahihi pesa inatoka wasichojua Ni kwamba baada ya muda bili Ile Ile itakuja Tena mezani. Inakua tamu zaidi pale wanywaji wamekuja Dar kwenye semina halafu kila mmoja anazo na hawajuani.kila mmoja katokea usweken kwake
Kuna konda aliwahi nambia ukiona sijakupa chenji ujue mmekukaushia tu,ila hata gari ijae vipi,nawajua abiria wote na kiasi wanachodai na kituo mtu alichoshuka...!!Kuna ukweli wake.
Ile uwezo wa kondakta kukumbuka watu wote waliolipa nauli wasiolipa na chenji zao, noma sana.
Barmaids nao wanajua kucheka na sura hadi unaacha tip.
Mabaamedi pisi kali huwa wanatabia ya kukaa na chenji ili mteja uiache Kama tip😂juzi kati nilikuwa nakunywa kiwanja flan hivi chugga Kuna bamedi mmoja mkali alikuwa ananihidumia yaani Kila nikiagiza Windhoek namuachia tip yaaniKm kichwa cha hbr kilivo hapo juu. Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeniii...
Nimekua nikiwafatilia kwa muda sasa naweza kukiri kwa kinywa changu kabisa...
Hawa watu wakiwa kwenye majukumu yao ni watu makini na wanatumia akili nyingi sn...
Km unakubaliana na utafiti wangu hebu tueleze kisa au tukio ambalo linaonesha hawa watu wanachukuliwa poa lkn wako viwango vya juu sn kuliko hata yule mzee mwenye file milembe.
NAWASILISHAAA😀😀
Mimi hivyo hivyo Ukonga banana, nilianza na supu na yeye nikamwambia achukue yake. Bia ya kwanza Hadi ya tatu nayeye. Nilipoondoka naelekea kwenye gari na muona huyu dirishani , na kuniambia ' Kaka hujachukua namba yangu ya simu'Mabaamedi pisi kali huwa wanatabia ya kukaa na chenji ili mteja uiache Kama tip😂juzi kati nilikuwa nakunywa kiwanja flan hivi chugga Kuna bamedi mmoja mkali alikuwa ananihidumia yaani Kila nikiagiza Windhoek namuachia tip yaani