Mabaa medi na Makonda ni watu wenye akili sana

Mabaa medi na Makonda ni watu wenye akili sana

Mwaka huu nilienda field mitaa fulani. Kuna siku nilichelewa kutoka na nikasahau wallet ofisini. Kwenye daladala konda akaniomba nauli nikajikuta sina ila hakubisha akaendelea zake. Kesho yake bahati nzuri nikapanda daladala ile ile bila kujua ila nikamsikia ni yule konda mchekeshaji nikampa hela wakati nataka kumwambia akate ya jana akadakia anakumbuka. Nikamtania huachi deni akapaza sauti "kuna watu humu nawajua, kuna ambao mnavaa jeans tu na wengine kiofisi, wengine Jumamosi siwaoni, wengine Jumapili na wengine kila siku mnakuja". Wakambishia akapoint watu kama sita kila mmoja akamueleza pattern yake. Watu tulishangaa

Nilikuwa na kama mwezi njia ile alinambia amenikariri kila siku nakuwa nimevaa barakoa na earbuds kwahiyo alijua siku yoyote nitarudi anidai. Wengine aliwakariri kwa vile ana miaka mingi njia ile na ni maofisi makubwa haina daladala nyingi wala watu wengi.

Ila sijawahi ona konda asiye mzoefu sijui wanajifunzia wapi kwanza. Makonda wote wana experience
Heheheeee......hapa sasa ndipo msemo wa wahenga "MJINI SHULE" unapoingia🤣
 
Kuna ukweli wake.

Ile uwezo wa kondakta kukumbuka watu wote waliolipa nauli wasiolipa na chenji zao, noma sana.

Barmaids nao wanajua kucheka na sura hadi unaacha tip.
Yah... Nikiwayafakari kwakweli sielewagi.... Wako makini sn na hata ukitaka kumzulumu anakwambia matukio yote tangu ameanza safari mpaka hapo mlipo....
 
Namna madaladala ya Mbagala na Gongalamboto yanvyojaza utajiuliza atakusanyaje nauli? Ni konda huyohuyo atakuaminisha siti zimejaa lakini ukiingia hakuna siti na atakupa uongo mwingine kuna abiria wanashuka kituo kinachofuata(utadhani hakuna abiria atayemchukua kwenye hicho kituo), mwisho wa mchezo unafika safari yako bila kuonja kiti. Kondaz noma.
 
Cjasema stress tu pia nimesema ungekua na akili timamu ungepita kimyaa... Acha kujichoresha

IMG-20211120-WA0016.jpg
 
We konda hebu nipe 100 yangu niwaze vitu vingine hapa

Waiter/Barmaid zungusha kama tulivyo
 
Namna madaladala ya Mbagala na Gongalamboto yanvyojaza utajiuliza atakusanyaje nauli? Ni konda huyohuyo atakuaminisha siti zimejaa lakini ukiingia hakuna siti na atakupa uongo mwingine kuna abiria wanashuka kituo kinachofuata(utadhani hakuna abiria atayemchukua kwenye hicho kituo), mwisho wa mchezo unafika safari yako bila kuonja kiti. Kondaz noma.
Heheee... Yani anakuvuta unaingia kwenye 18 zake kilainiii
 
Km kichwa cha hbr kilivo hapo juu. Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeniii...
Nimekua nikiwafatilia kwa muda sasa naweza kukiri kwa kinywa changu kabisa...

Hawa watu wakiwa kwenye majukumu yao ni watu makini na wanatumia akili nyingi sn...

Km unakubaliana na utafiti wangu hebu tueleze kisa au tukio ambalo linaonesha hawa watu wanachukuliwa poa lkn wako viwango vya juu sn kuliko hata yule mzee mwenye file milembe.

NAWASILISHAAA[emoji3][emoji3]
Makonda ingawaje cheti halal cha kitaaluma hana lkn bado yupo vzr kiutendaj.

Kuna wale ktk icha za chanika machinga complex abiria wanapanda km mia na kila kituo wanapanda na kushuka na wengine wanashuka mwisho wa gari na naul wanapaswa kulipa tofaut wengine wanakudai chenj na wote wanapaswa kukumbukwa.
 
Daaaa.. Boss
 
Nipo baa apa dem mmoja anawaambia wenzake mimi nikiumizwa na nliyekua nimempa moyo wangu wote ndani ya wiki maumivu yameishaa afu anakua keshapata mwengine..... Anaongea huku ananitizama
Kisaikilojia/kitaalam hii maana yake nn
 
Back
Top Bottom