Mabaa medi na Makonda ni watu wenye akili sana

Heheheeee......hapa sasa ndipo msemo wa wahenga "MJINI SHULE" unapoingia🤣
 
Kuna ukweli wake.

Ile uwezo wa kondakta kukumbuka watu wote waliolipa nauli wasiolipa na chenji zao, noma sana.

Barmaids nao wanajua kucheka na sura hadi unaacha tip.
Yah... Nikiwayafakari kwakweli sielewagi.... Wako makini sn na hata ukitaka kumzulumu anakwambia matukio yote tangu ameanza safari mpaka hapo mlipo....
 
Namna madaladala ya Mbagala na Gongalamboto yanvyojaza utajiuliza atakusanyaje nauli? Ni konda huyohuyo atakuaminisha siti zimejaa lakini ukiingia hakuna siti na atakupa uongo mwingine kuna abiria wanashuka kituo kinachofuata(utadhani hakuna abiria atayemchukua kwenye hicho kituo), mwisho wa mchezo unafika safari yako bila kuonja kiti. Kondaz noma.
 
We konda hebu nipe 100 yangu niwaze vitu vingine hapa

Waiter/Barmaid zungusha kama tulivyo
 
Heheee... Yani anakuvuta unaingia kwenye 18 zake kilainiii
 
Makonda ingawaje cheti halal cha kitaaluma hana lkn bado yupo vzr kiutendaj.

Kuna wale ktk icha za chanika machinga complex abiria wanapanda km mia na kila kituo wanapanda na kushuka na wengine wanashuka mwisho wa gari na naul wanapaswa kulipa tofaut wengine wanakudai chenj na wote wanapaswa kukumbukwa.
 
Daaaa.. Boss
 
Nipo baa apa dem mmoja anawaambia wenzake mimi nikiumizwa na nliyekua nimempa moyo wangu wote ndani ya wiki maumivu yameishaa afu anakua keshapata mwengine..... Anaongea huku ananitizama
Kisaikilojia/kitaalam hii maana yake nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…