Ukweli mtupu...Mimi mwenyewe najua kuchemsha tambi chai na kusonga ugali tu..[emoji1] [emoji1]Kitu ambacho mabachela wengi wanachokiweza ni kuchemsha chai ya rangi na kupika tambi tu.
Kataeni au mkubali.
% kubwa ya wanaomudu kupika baadhi ya vyakula ni aidha wale waliokulia kwa dada zao au walioondoka kwenda kuanza maisha wakiwa wametoka makwao (kwa wazazi wao) wakiwa 22-25+.
Waliobaki wote ni tambi na chai ya rangi tu
Aliyekwambia Sele bonge ndio mpishi nani?Hehe mbona tunapika kuzidi nyie mkuu.
Mfano mzuri selebonge anavotoa biryani la maana
brain is the beautiful part of the body.
Hata kupika mchicha huwezi?Ukweli mtupu...Mimi mwenyewe najua kuchemsha tambi chai na kusonga ugali tu..[emoji1] [emoji1]
Naipenda JF
Sa mbona upo humu?am taken already