Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Kitu ambacho mabachela wengi wanachokiweza ni kuchemsha chai ya rangi na kupika tambi tu.
Kataeni au mkubali.
% kubwa ya wanaomudu kupika baadhi ya vyakula ni aidha wale waliokulia kwa dada zao au walioondoka kwenda kuanza maisha wakiwa wametoka makwao (kwa wazazi wao) wakiwa 22-25+.
Waliobaki wote ni tambi na chai ya rangi tu
Ukweli mtupu...Mimi mwenyewe najua kuchemsha tambi chai na kusonga ugali tu..[emoji1] [emoji1]

Naipenda JF
 
Niliwahi kula kachumbali tamu sana pale upanga PCCB. Kuikata getho ata kunukia kama ile hamna.
 
Hehe mbona tunapika kuzidi nyie mkuu.
Mfano mzuri selebonge anavotoa biryani la maana

brain is the beautiful part of the body.
Aliyekwambia Sele bonge ndio mpishi nani?
Anapika Hamiss na shetta, Sele yeye ni boss na msimamizi tu.
Tuulize sisi tunaokaa jirani na Facebook hapa kwake.
 
Swali hili ningeulizwa miezi 8 ilopita ningekaa kimya.
Unajua unaweza usijue kupika kwa sababu ya mazingira ya kupikika kila siku ila ukifika maenei hauna jinsi isipokua kupika mwenyewe basi ujuzi unaongezeka kila siku na mwisho wa siku unakua mtaalam.
Naweka picha hapa kuonesha mambo nayoyafanya masiku haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
b830e32496970167d04cefe5a57c0c1d.jpg
75e43b69d7f9a7931324a0bd4635860a.jpg
faf8d69f64cd604d8bd05c0059e998ce.jpg
a32939821a84c326d162170939608bf6.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom