Usa-River
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 979
- 1,979
Ukweli mtupu...Mimi mwenyewe najua kuchemsha tambi chai na kusonga ugali tu..[emoji1] [emoji1]Kitu ambacho mabachela wengi wanachokiweza ni kuchemsha chai ya rangi na kupika tambi tu.
Kataeni au mkubali.
% kubwa ya wanaomudu kupika baadhi ya vyakula ni aidha wale waliokulia kwa dada zao au walioondoka kwenda kuanza maisha wakiwa wametoka makwao (kwa wazazi wao) wakiwa 22-25+.
Waliobaki wote ni tambi na chai ya rangi tu
Naipenda JF