Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

8e44596bd4af59e6dd5df45e6d488a94.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pika ugali na kitu cha dagaaa or samaki ni simple na ni fasta ..or kitu cha tambi aiseee ni faster sana ndio misosi yangu iyo aiseee.

Kupika wali labda iwe weekend na kwa mwezi mara moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda sana kula hapa kwa mama tambaza na PCCB pale. Wapishi wote wanaume. Yaani mimi kwa desa ngumu nilizopiga inamaana za kupika ndo siziwezi??? Jamaa wanatoa vitu hatariii.
 
Niliona kaka Mmoja Bachela kaajiri mdada aliyesomea Mapishianakuja asubuhi na kuondoka jioni

yeye akitoka kazini anafikia tu menu
 
Napenda sana kula hapa kwa mama tambaza na PCCB pale. Wapishi wote wanaume. Yaani mimi kwa desa ngumu nilizopiga inamaana za kupika ndo siziwezi??? Jamaa wanatoa vitu hatariii.

ukiwa unapika huku unasoma jinsi ya kupika
 
Nina imani mabachela tuko wengi sana humu.

Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo unaupenda. Na ukiula mahala unahisi umekosewa kupika sio kama ungeupika japo hujawahi kuutest geto.

Mimi bana WALI naupenda ila kuuandaa hadi utoke ni hatari sana. Halafu nikiwa nakula kitaa huwa mwepesi sana kuwalaumu wahudumu wali haujaiva au wamepika bokoboko au una mawe.

Wewe je msela wa geto nini kinasumbua jikoni?

Nunua rice cooker
 
Kuna siku mother alisafiri tukabaki na mshua ilikuwa hatari. Tukalilia wali, mshua akazama jikoni. Mhmm kitu kilivokuja mezani balaaa.
Huo mguno wako ni jibu tosha.

Najua Mshua kachemka kukitoa.

Lakini bora hata Mshua wako amejaribu.

Mimi masuala ya kuvitoa siyawezi.

Na naogopa kujaribu, najua fika nitaboronga
 
Nina imani mabachela tuko wengi sana humu.

Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo unaupenda. Na ukiula mahala unahisi umekosewa kupika sio kama ungeupika japo hujawahi kuutest geto.

Mimi bana WALI naupenda ila kuuandaa hadi utoke ni hatari sana. Halafu nikiwa nakula kitaa huwa mwepesi sana kuwalaumu wahudumu wali haujaiva au wamepika bokoboko au una mawe.

Wewe je msela wa geto nini kinasumbua jikoni?

weka moto kiasi tu, ukipenda utaweka mafuta na kuukaanga zen tia maji kiasi (hapa ndo ishu cjui nikuonesheje kiasi hicho) ila kikubwa toka mchele ulipo ndani ya sufuria tia maji kiasi. funika acha uchemke hadi maji yaishee kabisa epua na upalie ila usirudishe sufuria jikoni subiri kwa dk 10 au 15 zen ugeuze na upandishe sufuria jikoni, hii itakusaidia kutokuunguza kabisaaaa wali wako. ZINGATIA MOTO KIASI.

hapo nimekupa tu wali wa kawaida bila kuuweka na mbwembwe zozote. pia usipotaka kuukaanga poa, cha muhimu tu ni kukumbuka moto wako uwe kiasi kidogo kabisa.
 
Back
Top Bottom