kipapi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,059
- 1,390
Pilau noma... Nilijaribu siku moja kupika pilau likatoka kama "mseto" flani hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nishajaribu mara 100 kasoro sijawai fanikiwa kupika vizuri pilau, nadhani tupo wengi ili pishiPilau noma... Nilijaribu siku moja kupika pilau likatoka kama "mseto" flani hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji381] [emoji381] rangi kama hizoPilau noma... Nilijaribu siku moja kupika pilau likatoka kama "mseto" flani hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambohahaha mabachela mpo?????????
Napenda sana kula hapa kwa mama tambaza na PCCB pale. Wapishi wote wanaume. Yaani mimi kwa desa ngumu nilizopiga inamaana za kupika ndo siziwezi??? Jamaa wanatoa vitu hatariii.
Nina imani mabachela tuko wengi sana humu.
Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo unaupenda. Na ukiula mahala unahisi umekosewa kupika sio kama ungeupika japo hujawahi kuutest geto.
Mimi bana WALI naupenda ila kuuandaa hadi utoke ni hatari sana. Halafu nikiwa nakula kitaa huwa mwepesi sana kuwalaumu wahudumu wali haujaiva au wamepika bokoboko au una mawe.
Wewe je msela wa geto nini kinasumbua jikoni?
Huo mguno wako ni jibu tosha.Kuna siku mother alisafiri tukabaki na mshua ilikuwa hatari. Tukalilia wali, mshua akazama jikoni. Mhmm kitu kilivokuja mezani balaaa.
Nina imani mabachela tuko wengi sana humu.
Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo unaupenda. Na ukiula mahala unahisi umekosewa kupika sio kama ungeupika japo hujawahi kuutest geto.
Mimi bana WALI naupenda ila kuuandaa hadi utoke ni hatari sana. Halafu nikiwa nakula kitaa huwa mwepesi sana kuwalaumu wahudumu wali haujaiva au wamepika bokoboko au una mawe.
Wewe je msela wa geto nini kinasumbua jikoni?
Ni changamoto kweli mkuu,naweza nikaona mtu anavyopika ila mimi sasa kuipika ni majanga..ila siku moja nitajua tu
coming soon [emoji56] [emoji56]Hahaha oa tu mkuu
brain is the beautiful part of the body.
Mbona simple tu mi mbona huwa napika za maji na kama ni weekend natengenza za kukanda kabisaKwakweli vya ngano sijawahi jaribu kabisa.