Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

πŸ™†πŸΏβ€β™‚πŸ˜ƒπŸ’ͺ🏿πŸ€ͺ kuna jambo najua unashindwa kuliweka hadharani.. Acha tu tubaki Malawi kwanza🀣
haraffu mkuu umenithibitishia kuwa wewe ni Mlozi kweli kweli hadi umesababisha nimeyumbisha msimamo wangu kutoka ZAMBIA hadi MALAWI ... ebu turudishie nyuzi zako Za ULOZI mkuu tumemmiss yule mshana wa KILINGENI msata
 
Nahifadhi haya maneno kwa matumizi ya rejea kwenye machapisho yajayo mbeleni..
 
Try to connect dots bro... Teuzi bila live?
muda wa kuapishwa ataonekana.

wizara ya nishati ilikua wazi kufuatia waziri wake kua makamo, hivyo teuzi zilitarajiwa

Kuimba kupokezana watakapoanza kulia tutawakumbusha.
kimsingi kabla ya kipindi hiki cha furaha walikua wanalia, yawezekana sasa pande zote zimeshuhudia maumizvu yana uzito gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…