Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

Mavunde ametemwa? Nilijua tu, huyu kuna upigaji alizuia kule kwenye makaa ya mawe, mkako na kitai, akishirikiana na Judith, baadae ilivyosanuka judith akamuangushia zigo zima mavunde, na ilisemekana hachukui round anatupwa nje.

Jamani msiwaamini wanawake, mavunde amepotezwa na Judith kapinga,
Kweli leo nimeamini Makaa ya mawe ni ya Roma na stamina.
Duuuuh
 
Kwakuwa mtihani wa kidato cha nne umekaribishwa hakuna baya.
 
Tutaona Wakati wa uapisho
 
Kumefanyika Mabadiliko Ya Baraza La Mawaziri Leo
Yule kijana aliyeoa miss kutoka kwa akina ngosha naona kaambulia patupu pamoja na kujikomba kote ili arudi kwenye cabinet,,,mwambieni ICC ipo paleplae inamsubiri.
 
Du umenikumbusha Kitai, Mbinga na gereza la Kitai.
 
NI Reshuffle ndogo na hakuna Waziri aliyetemwa.....imefanywa kwa kumteua Waziri mpya mmoja ili kujaza nafasi aliyoiacha Mh. Makamu wa Rais..na wengine kubadilishana Wizara... ..period...
 
NI Reshuffle ndogo na hakuna Waziri aliyetemwa.....imefanywa kwa kumteua Waziri mpya mmoja ili kujaza nafasi aliyoiacha Mh. Makamu wa Rais..na wengine kubadilishana Wizara... ..period...
Mavunde yuko wapii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…