barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hamna reform hapo ni mpasuko zaidi...Reform and Rebuilding at work.
hilo jibu nahisi wanalo CCM na Mwenyekiti wao. Daima huwa hawakosi majibu kuhalalisha udhalimu wao.Kwanini kiwe cha utashi badala ya kuwa cha kikatiba?
Dini ya mtu haihusiki kabisa kwenye uteuzi!! Usituingizie uharibifu!! Dini ya mtu haimpi sifa ya kushika wadhifa wowote!! Hao wote wameteuliwa kwa mujibu wa taaluma zao!! Lakini pia jina halina uhusiano na dini ya mtu!! Nina jamaa yangu anaitwa Salum lakini ni Mkristo!!
Mkristo na muislam ndio kitu gani?
Kabisa kashatoa boko 2025 hatopitaKwanza hana uchungu na nchi pili hana uwezo
Wanampa exposure ila atadunda tu...Ma~Rope Ananyatia Urais Sasa
😂😂😂😂na mimi naungana na wewe asee.Naungana na jamaa mmoja hapa Jf alissema ukifuatilia siasa za Tanzania alafu ukawa comfortable bila ya stress basi jehanamu haitakuwa ngumu kuishi huko .
#NotMyPresidentSamia hatukupendi
Kwann binadamu mnaangaika sana na udini? Si kwamba waliohamishwa au kubailishwa ni wapya, hizi takwimu zako unazitoa wapi? Kwann husiseme Wakristo wamabadilishwabadilishwa sana huku Waislam wengi wakisalia ktk nafasi zao? Roho mbaya ya udini haiwezi kuwaletea maendeleo. Hivi haya mambo ya kibaguzi huwa mnafundishwa kwenye ibada zenu? Mara mubebe mabomu mjilipue, hivi mkoje?Katika Teuzi na haya mabadiliko yako uliyoyatangaza,Nafasi ziko 16,waislam ni wawili tuh na wakristo wako 14.
Nawahakikishia laiti hili lingekuwa vice versa hii nchi kila kona ungeskia kelele na kusingekalika.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba (MUISLAM) kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana (MKRISTO) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa (MKRISTO)kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde(MKRISTO) kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa (MUISLAM) aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa (MRISTO)amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
9. Godfrey Kasekenya (MKRISTO) aliyekuwa Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi
10. Alexander Mnyeti (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Kilimo
11. David Mwakiposa (MKRISTO)Kihenzile ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Uchukuzi. Ni mbunge wa Jimbo la Mufindi
12. Judith Kapinga (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa nishati, ni mbunge wa viti maalum Ruvuma.
13. Dunstan Kitandula (MKRISTO)ameteuliwa Naibu Waziri wa maliasili na Utalii, ni mbunge wa Mkinga
14. Stergomena Tax (MKRISTO)amehamishwa wizara ya mambo ya Nje kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
15. Angellah Kairuki (MKRISTO)amehamishwa kutoka TAMISEMI na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
16. Dkt. Damas Ndumbaro (MKRISTO) amehamishwa kutoka Wizara ya Katiba ba Sheria na kuwa Waziri wa Utamaduni
Hongera sana kwa kuwa na moyo wa ujasiri na uthubutu.
Usifananishe China na TzKawaida
mfano utaratibu uliopo China kuna Premier moja na vice premier wanne wanao shirikiana kutimiza majukumu ya nchi.
Hao vice premier wanne kila moja anajukumu lake.
Wampeleke Congo akapigwe risasi ya kichwa.Yule kasoma international conflicts. Acha akae huko nje panamfaa kuresolu conflicts huko Congo DRC na Rwanda .
Hapa nionacho wanatusetia watu, rais, makamu wa rais na waziri mkuu... wanawaandaa watu!!! Ila ni boko maana wengi hawakubaliki mtaani...Katika Teuzi na haya mabadiliko yako uliyoyatangaza,Nafasi ziko 16,waislam ni wawili tuh na wakristo wako 14.
Nawahakikishia laiti hili lingekuwa vice versa hii nchi kila kona ungeskia kelele na kusingekalika.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba (MUISLAM) kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana (MKRISTO) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato (MKRISTO)kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa (MKRISTO)kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde(MKRISTO) kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa (MUISLAM) aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa (MRISTO)amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
9. Godfrey Kasekenya (MKRISTO) aliyekuwa Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi
10. Alexander Mnyeti (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Kilimo
11. David Mwakiposa (MKRISTO)Kihenzile ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Uchukuzi. Ni mbunge wa Jimbo la Mufindi
12. Judith Kapinga (MKRISTO) ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa nishati, ni mbunge wa viti maalum Ruvuma.
13. Dunstan Kitandula (MKRISTO)ameteuliwa Naibu Waziri wa maliasili na Utalii, ni mbunge wa Mkinga
14. Stergomena Tax (MKRISTO)amehamishwa wizara ya mambo ya Nje kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
15. Angellah Kairuki (MKRISTO)amehamishwa kutoka TAMISEMI na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
16. Dkt. Damas Ndumbaro (MKRISTO) amehamishwa kutoka Wizara ya Katiba ba Sheria na kuwa Waziri wa Utamaduni
Hongera sana kwa kuwa na moyo wa ujasiri na uthubutu.
Wazee wamekaza mno safari hii.TEC shikilia hapo hapo
Ilianza sukuma na non-sukuma gans sasa naona kuna evolutions mpya za gangs zinaibukaHamna reform hapo ni mpasuko zaidi...
Ataenda kusuluhisha ,si kawa waziri wa mambo ya nje.Wampeleke Congo akapigwe risasi ya kichwa.