Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Taifa linahitaji kizazi kingine kwenye uongozi chenye akili mpya nje ya hawa vijana na makada wa CCM. Akili mpya zenye exposure na kasi ya dunia.

Kuendelea kubadili watu wale kwenye maeneo tofauti tofauti ni kupoteza muda tu.
Nakazia
 
u
Naona njia ya Kassim Majaliwa inaanza kufyekwa ili apishe.........waliokaribu naye wamshauri hata ubunge awaachie wengine kulinda heshima yake
Uzuri kwa katiba hii na nafasi yake hii yeye ni wa kutunzwa na Taifa maisha yake yote huku akivuta 80% ya mshahara wa waziri mkuu aliyeko madarakani bila kukatwa kodi!! Katika maisha haya unataka nini tena!! Ndiyo maana mzee Msuya anajilia utamu wa keki ya Taifa kimya kimya utafikiri hayupo!! Mzee Pinda pia!!
 
Hii nafasi ipo kikatiba au ndo kusema Kassim Majaliwa haaminiki tena!?
Rais Ali Mwinyi alimteua Marehemu Mrema Naibu Waziri Mkuu, baadaye alidai haki yake sijui kama alipewa.
Hiki cheo hata kikatiba hakipo, ila Rais amepewa madaraka kwamba yuko juu ya katiba kwa Tanzania. Hakuna anayeweza kumshtaki hata akiacha kuwa kiongozi wa nchi.
Inawezekana ana sababu zake, ngoja tusubiri labda atasema.
 
Ana sababu..
 
u

Uzuri kwa katiba hii na nafasi yake hii yeye ni wa kutunzwa na Taifa maisha yake yote huku akivuta 80% ya mshahara wa waziri mkuu aliyeko madarakani bila kukatwa kodi!! Katika maisha haya unataka nini tena!! Ndiyo maana mzee Msuya anajilia utamu wa keki ya Taifa kimya kimya utafikiri hayupo!! Mzee Pinda pia!!
Yeah nikweli akapumzike tu kwao huko awe anatembelea mashamba yake ya Korosho,akufukuzaye hakwambii toka....... kuvunja tu katiba na kuteua mtu ni njia tu ya kufikisha ujumbe
 
Rais anao uwanda mpana wa kubadili wizara na kuwaweka Mawaziri kwa kadri atakavyo.

Kwa uzoefu wangu sikuwahi kusikia Kiongozi aliyewahi kuwa Naibu Waziri mkuu.

Hata hivyo kama Rais ana Makamu wake iweje Waziri mkuu asiwe na Naibu?

Nilipochanganyikiwa zaidi ni Kiongozi mmoja kuwa Naibu Waziri na Waziri ktk serikali hiyohiyo. Inawezekanaje?

Kwamba Pale bungeni na huko mitaani hakuna wanachama wa CCM wenye weledi kiasi cha kumtwisha majukumu mazito ndugu Dotto?

Tuombe Mungu uteuzi huu uwe na malengo ya kuimarisha ustawi wa wananchi wote na si kumdhoofisha mtu flani kwa manufaa ya watu wachache.
Hujasikia naibu waziri mkuu?
Wewe wa jana.
 
Hili ndio anaweza kutengua na kuteua hapo ndio roho na nguvu alipo weka. Mambo magumu kama DP-WORLD na vituo vya mafuta kuficha mafuta mpk kila juma5 ya mwanzo wa mwezi ili kuuza kwa bei kubwa. Hawagusi kabisa.
 
Back
Top Bottom