Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Naona hujaielewa dhanna ya Reform and Rebuilding.


Hapo kwa Kassim Majaliwa, kilichositisha asipigwe chini ni mfumo tu, lakini ana "underperform" sana, juzi aliambiwa, usingoje maagizo kutoka juu.
Namkubali San huyo musilamu mwezenu
 
KATIBA YA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA IBARA YA 55

55.-(1) Mawaziri wote ambao ni wajumbe wa Baraza la Mawaziri kwa mujibu wa ibara ya 54 watateuliwa na Rais (SAMIA) baada ya kushauriana na Waziri Mkuu (MAJALIWA)
 
Hakuna ujumbe wowote, hata ukimtazama Kassim Majaliwa unamuona kuwa yu mgonjwa-gonjwa. Hana afya njema, ni lazima apunguziwe mzigo, ana "underperform".

Kama si maradhi physically basi ana "depression".
Mmadaraka yampe depression sidhani mzee huyu Ni makini sma na Hana masiara
 
Hivi ni kwa nini huwa mnadhani Ccm itafanikiwa kuiba kura uchaguzi zote?
Mifumo mzee, mifumo ya nchi hii ndo inawahakikishia CCM ushindi huo. Yaani hata ulie ukatae ila hata hao upinzani wanaelewa kwamba mifumo ya nchi hii haipo upande wao kwa zaidi ya asilimia 80. Huwezi kushinda bila mifumo. Hata bahati inamdondokea mwenye maandalizi mazuri.
 
Ndio kilichobaki anachokiweza huyu Bibi.

Mtu anapo- underperform anahamishwa instead ya kuwekwa pembeni.

Huyo Bibi Tax naye karudishwa wizara aliyotolewa hata mwaka haujaisha.

Hicho cheo alichopewa huyo Biteko kina tija gani maana hakipo kikatiba na hata Mrema aliyewahi kukishika hakuna aliyepewa tena ikiwa ni tafsiri hakina manufaa

I only see the last kicks of a dying horse.
katiba ya jmt haina wizara wala vipengele vyakd ila inamtaka raisi kuteua waziri mkuu na mawaziri na kuunda baraza .lakini katiba haijasema wizara ziweje ndio maana kila raisi anaunda wizara zake na kuzichanganya anavotaka. So cheo cha naibu waziri ama naibu waziri mkuu havipo kikatiba na ni issue ya kuwapa washikaji au wafuasi wako fadhila pale wanapo kupa sapoti
 
Angemtoa tu Majaliwa mtu pekee aliyebaki serikalini ambae kidogo anafanya wananchi wawe na imani na serikali ya ‘bi Tozo’; kusudi hilo jumba bovu lianguke haraka.
Ukimtoa Majaliwa (PM) maana yake ni kuvunja baraza la mawaziri!! Waziri mkuu akitoka , anatoka na baraza lake lote!! Inabidi apendekezwe waziri mkuu mwingine, kisha akathibitishwe na bunge!! Kisha rais kwa kushauriana na waziri mkuu waunde baraza jipya la mawaziri!! Huo mziki si wa kitoto!!
 
Acha ujinga. Huyu ndo mkombozi wetu baada ya kuteswa na jiwe miaka mitano bila mishahara kuongezeka Wala ajira mpya zozote. Sasa hivi ajira ni kila pahala hasa sector binafsi ambayo ilikuwa imekufa kabisa kifo Cha Mende.

Sasa hivi utalii inaajiri kwa Kasi mno na waliosoma tourism wanasema mama has rescued them. Sector ya bank inaajiri kwa mamia kwa Sasa baada ya kupulia mashine k a miaka mitano ya jiwe.

Mpaka ameamua kuwarudishia pesa zilizoobwa kwenye akaunti za Hawa wamiliki wa bureau de change. Sasa hatusikii watu kuuawa ovyo ovyo na watu wasiojulikana.
Acha kusumbujmka na marehemu.
 
Back
Top Bottom