Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Tutegemee wizara ya mambo ya nje ikianza kuangaliwa kwa ukaribu sana na ndugu yangu luhanga mpina. Ufanisi wa mabalozi nk. 🍿🍿🍿
 
Screenshot_20230830-142254_Instagram.jpg
 
Wakati wa Magufuli awamo ya tano aliteua wasaidizi wake kiubabe mno kuwaminya waislamu.Aliwadharau sana waislamu akidhani ni mbumbumbu kama wanavyojitapa wakristo.

Hiyo ilikuwa tofauti kidogo wakati wa mwisho wa Kikwete na mwanzoni mwa utawala wa raisi Samia.Lakini katika uteuzi wa leo sijui amekusudia nini au ameona nini.Ameona waislamu walionyimwa elimu hawafai au amekusudia kuwaridhisha wakristo hasa wakatoliki badala ya kumtishia kupitia TEC .Anayejuwa zaidi ni Mungu juu ya nia yake.

Muhimu tu ajue wakristo hasa wakatoliki hawana fadhila kabisa.Na kuwa waislamu wanapaswa kupata teuzi kama si sawa basi nyingi kulingana na wingi wao na kukiunga mkono chama chake cha CCM.

1693395039470.png

1693395160939.png
 
Rais anao uwanda mpana wa kubadili wizara na kuwaweka Mawaziri kwa kadri atakavyo.

Kwa uzoefu wangu sikuwahi kusikia Kiongozi aliyewahi kuwa Naibu Waziri mkuu...
Hapo mm ndio nilkuwa napenda hata makamu rais apewe majukumu mazito mfno akawa makamu wa rais na vile akawa labda waziri wa fedha au afya ni Jambo zuri hata Zimbabwe wanao hyo unamkuta makamu wa rais pia ndio waziri wa afaya na anafanya Kaz vzr tu
 
Ishu ya PM kutakiwa kuondolewa kumbe imekuwa serious.

Nilianza kuisikia tangu 2022 miezi ya Mwanzoni na aliyetakiwa kum-replace ni huyo huyo Dotto...
Naibu waziri Mkuu wa kwanza Tanzania alikuwa ni Salim A. Salim ambaye alihudumu kwa miaka minne akiwa na Joseph warioba kama waziri Mkuu wake katika awamu ya kwanza ya utawala wa Mzee Mwinyi kwahiyo Mrema hakuwa wakwanza.
 
Salimu Ahmed Salim na Mzee Mrema waliwahi kuwa manaibu waziri wakuu enzi za utawala wa Mzee Mwinyi.
No, Salim alikuwa waziri mkuu kabisa bwana baada ya kifo cha Sokoine na ndio akashinikiza rais Nyerere akakubali mitumba ingizwe nchini kwa kuwa watanzania walikuwa wakitembea nusu uchi.

Akina Salim walikuwa na kipawa cha uongozi lkn hawa tulio nao leo ni wachumia tumbo tu. Bure kabisa.
 
Sukuma Gang wamepata kiti kimoja kupitia Mnyeti ambaye pia anatajwa kuja kugombea Urais kupitia CHADEMA
 
Ndumbaru na michezo wapi nawapi jamani............
Kumbe hujui kitu ndumaro alikuwa wakala wa wachezaji kabala ajaingia ktk siasa Ni mtu mtu wa michezo mno huo ujinga wa tfff na baodi wa ligi kufungia fungia watu utakomaa jamaa pia nae aliwahi kufungiwa na tfff hyo hyo hvyo anaijuwa vzr
 
Back
Top Bottom