Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Ni kweli Biteko hana ushawishi wowote ila ata upinzani wa kweli nao hatuna. Nchi inachezewa nyie mpo busy tu kupiga porojo mnazidiwa ata na yule Mwanasheria aliyeamua kuishitaki Serikali.
Yaani nyie mpo mpo tu mnasubiri uchaguzi.
Acha dharau na kebehi kwani wewe hapo umechukua hatua Gani zaidi ya kusubirbkwenda toilet kukata gogo?
 
Naibu waziri mkuu?, Hivi viongozi wetu Wana matatizo ya akili?. Ujuha tu Kama watu wameshindwa kufanya kazi wizara za mwanzo wataweza vipi kufanya kazi wizara nyingine. Inabidi nianzishe mapinduzi ili watanganyika tuwe huru... Watu walewale huku vijana tukisimangwa ni majobless kumbe mfumo mbovu na wakipumbavu wa elimu chini ya CCM ndio chanzo Cha haya yote.
 
Mm jicho langu naona ni kuchepusha mjadala wa dp word hasa cheo cha naibu waziri mkuu.

Vijana wa eagle wamecheza karata vizuri ngoja tuone upepo utahama?
 
Siasa za Tanzania sio sawa na za Kenya, huyo Dotto ana ushawashi wapi zaidi ya Jimboni kwake? Unazani Majaliwa mfano ukitoa Jimboni kwake unazani una ushawishi mwingine kule Lindi.

Siasa za aina hio huwa ziko Kenya unakuta kuna mtu ana controo Kabila lake lote, Magufuri mwenyewe bado alikuwa ha cotroli wasukuma wote na laiti Uchaguzi ungekuwa huru ungeshangaa sana hata pale Chato kwake tu.
Hivi magufuli alikuwa msukuma?
 
CCM inatapatapa!
Kikubwa warudi ktk maadili na kuacha utapeli na ufisadi wA MALI YA UMMA
 
Sidhani kama Doto anaushawishi mkubwa kanda hiyo. Jamaa ni mtendaji mzuri sana sana, mwadilifu pia.

SSH hana uwezo wa kufanya kazi kwa kasi kama JPM, anahitaji wasaidizi pale juu wenye uwezo wa kufuatilia mambo kwa undani, Doto anaiweza hiyo kazi.

Japo itakuwa ngumu kwake kwakua ni waziri wa nishati pia.

SSH amwondoe Maharage na wale wafanyabishara aliowaweka pale TANESCO. Shirika lirudi kwenye njia yake sahihi. JNHPP ikiwashwa basi tununue umeme kwa flat rate ya 100 kwa unit nchi nzima.
 
View attachment 2733568

Hakuna Sababu yoyote ile nyingine kwenye Uteuzi huu zaidi ya kutafuta huruma kutoka Kanda ya ziwa , hasa baada ya Oparesheni 255 ya Chadema Kuungwa Mkono na Wakazi wote wa Kanda hiyo , wakiwemo Wabunge na viongozi wa ccm

View attachment 2733550

View attachment 2733567

Bali wachambuzi wa siasa za Kanda ya Ziwa wanaona kwamba , Uteuzi wa Dotto Biteko kijana Mdogo , asiye na Ushawishi wowote kwenye kanda hiyo hautabadili chochote kwenye kanda hiyo
Hivi kuna nafasi kikatiba ya Naibu Waziri Mkuu, bila shaka Kagame atakuwa amefurahi sana.
 
Tu
Reform kazini, hata mpira wakicheza kuna muda coach anabadili "formation" ndiyo maana halisi ya ku reform.

Ofisi ya Rais ni kubwa kuliko mnavyodhania.

Hiki cheo cha unaibu waziri mkuu kilianzia wakati wa mzee Rukhsa, mama sasa kakirudisha tena. Kuna sababu za muhimu sana tena sana, kuliko unavyofikiria.
Basi tupe huo umuhinu au ni njia tu ya uweakness kujificha nyuma ya uimara
 
Naungana nawe kabisa mkuu, kwa Sasa kasimu hata akinyoosha kidole tu wengi tupo nae.

Masahihisho kidogo kwenye hiko kisa Cha washami walikua ni wakoma ndio walioenda kwenye kambi za hao maaskri , wakoma ni watu walio kua dhaifu na duni sana na walikua wametupwa nje ya mji ndio maana hawakujali kuishi au kufa.
Na pia walikuwa Waisrael waliokwenda kwenye kambi ya Washami baada ya kutengwa kwa mjibu wa sheria
 
Je, Mwigulu, Makamba na Nape bado wapo?

Kama bado wapo hakuna mabadiliko Makubwa hapo.

Bitozo bado anazidi kufurahisha kijiwe.
Ila watu wajanja sana alianza Mkumbo Kitila kuwa msemaji wa Bandari baada ya muda akaula, akaja Jerry Silaa nae akamuiga Mkumbo hivi sasa nae kaula, kumbe hizi ndio mbinu mbadala ya kupata uwaziri, nyuma nilidhani ni uchapakazi kumbe ni kuwa mwimbaji mapambio mkuu.
 
Back
Top Bottom