Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
NakaziaTaifa linahitaji kizazi kingine kwenye uongozi chenye akili mpya nje ya hawa vijana na makada wa CCM. Akili mpya zenye exposure na kasi ya dunia.
Kuendelea kubadili watu wale kwenye maeneo tofauti tofauti ni kupoteza muda tu.