Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Unajua kusoma na kuandika?Usifananishe China na Tz
Wametuzidi mbali sana
1. Kuna ulazima gani wa kuwa na naibu waziri mkuu?Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi...
😂 Sawaa tuma salamu kwa watu watatuMkuu simama hapo mezani sebuleni...
Kwenye nishati ni waziri kamaili.Hiki cheo mara ya mwisho alikishika Mrema kama sikosei enzi za Mwinyi.
Kiuhalisia ni cheo cha utashi wa raisi, hakipo kikatiba.
Ila kinachotafakarisha hapa ni pale Biteko atakapokosea kama Naibu Waziri wa Nishati, je waziri akimuadhibu si itakuwa anamuadhibu Boss wake ambae ni Naibu Waziri Mkuu? Maelekezo ya Waziri wa Nishati yatakuwa na mashiko kwa Naibu wake ambae kiuhalisia ni Boss wake?
Wacha apate uzoefu...tutamuangalia mbeleni...Rais mstaafu wa awamu ya nne alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Akawa mwanadiplomasia mahiri sana. Pia kuwepo kwake kwenye wizara hiyo kulimuepusha na vurugu za siasa za ndani. Akaja kuwa Rais baadae...
Kilianza na Augustine Lyatonga Mrema wakati wa MwinyiHivi cheo cha naibu waziri mkuu huwa kipo
Kuna watu huwa wanasema humu kuwa wewe ndiye "mama wa Taifa"! Kwa post yako hii naanza kushawishika na hilo!! wewe unasemaje?Anachapa kazi anaposukumwa, mama style yake ni mtu ajisukume mwenyewe.
Majaliwa ana "typical mindset" ya utumwa.
78%..Mimi naona mama ameshazidiwa. Na ameona hata wanaomdanganya kuwa wanampenda, hawampendi. Wanapenda madaraka, wanajipenda wao na wanapenda familia zao.
Hongera dadaHapa sikosi
SahihiMara ya mwisho kuwa na Naibu Waziri Mkuu alikuwa hayati Lyatonga Mrema mzee wa kiraracha
Uandishi huu wa neno 'tuh' ni wa ile ID ya moto chini Mzee wa Ntwala ,vipi walikupa ban Mkuu umekuja kivingine.Tutawaeleza tuh ili muelewe.
SawasawaJanuary Makamba.. hiyo nafasi aliyopewa sasa hivi ndio yake sasa..