Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Cheo cha NWM kinakuwepo tu pale Ruksa-Dynasty inapotawala nchi-Hivi kuna nafasi kikatiba ya Naibu Waziri Mkuu, bila shaka Kagame atakuwa amefurahi sana.
Ila watu wajanja sana alianza Mkumbo Kitila kuwa msemaji wa Bandari baada ya muda akaula, akaja Jerry Silaa nae akamuiga Mkumbo hivi sasa nae kaula, kumbe hizi ndio mbinu mbadala ya kupata uwaziri, nyuma nilidhani ni uchapakazi kumbe ni kuwa mwimbaji mapambio mkuu.
Asante kwa masahihisho, ila PM ujumbe atakuwa ameupata kwamba he is no longer needed.Naibu waziri Mkuu wa kwanza Tanzania alikuwa ni Salim A. Salim ambaye alihudumu kwa miaka minne akiwa na Joseph warioba kama waziri Mkuu wake katika awamu ya kwanza ya utawala wa Mzee Mwinyi kwahiyo Mrema hakuwa wakwanza.
Angalau wewe umeandika katika hali ya mtu anayejielewa. Haujanasa kwenye mipasho.KATIBA YA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA IBARA YA 55
55.-(1) Mawaziri wote ambao ni wajumbe wa Baraza la Mawaziri kwa mujibu wa ibara ya 54 watateuliwa na Rais (SAMIA) baada ya kushauriana na Waziri Mkuu (MAJALIWA)
Mimi siyo msukuma, ila kwa majibu yako haya naona wewe ndo huna akili.Tangu lini mwenye mkono wa Sweta a.k.a G.OV.I akawa na akili? Kupaa na ungo Kila siku akili itatoka wapi? Ungenambia Kula ugali mkubwa sawa
Aisee 🤣Namjua Maghayo ni dikteta wa kutupwa; hafai hata kidogo🤣🤣🤣
Aisee 🤣Namjua Maghayo ni dikteta wa kutupwa; hafai hata kidogo🤣🤣🤣
Mama anafanya mabadiliko kimkakati; nafasi ya naibu waziri mkuu inaakisi kutokuwa na Imani na waziri mkuu. Kuna namna hesabu zimepigwa na kuona kutakuwa na gharama kubwa kisiasa kulivunja Baraza Zima....Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
9. Godfrey Kasekenya aliyekuwa Naibu waziri wa Ujenzi na uchukuzi ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Ujenzi
10. Alexander Mnyeti ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Kilimo
11. David Mwakiposa Kihenzile ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa Uchukuzi. Ni mbunge wa Jimbo la Mufindi
12. Judith Kapinga ameteuliwa kuwa Naibu waziri wa nishati, ni mbunge wa viti maalum Ruvuma.
13. Dunstan Kitandula ameteuliwa Naibu Waziri wa maliasili na Utalii, ni mbunge wa Mkinga
14. Stergomena Tax amehamishwa wizara ya mambo ya Nje kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
15. Angellah Kairuki amehamishwa kutoka TAMISEMI na kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
16. Dkt. Damas Ndumbaro amehamishwa kutoka Wizara ya Katiba ba Sheria na kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=7bLEuvgVGG4
======
View attachment 2733279
View attachment 2733280
View attachment 2733281
View attachment 2733282
Bongo watu mnapenda ubishi kiasi mtu anatunga kitu halafu anabijibishia mwenyewe. Wewe nanga kwani nimekuambia hatapata? Ni hivi: Hata kama CCM wanaiba au kubadilisha washindi lakini hujitahidi sana kufanya kura zao ziwe nyingi kadiri iwezekanavyo. Kadiri zinavyokuwa nyingi ndivyo wizi unavyokuwa mrahisi kufanya na uwezekano wa kutokea fujo kupungua.Msijilishe pumba, hizo kura hata akizikosa hazizuii yeye kuwa rais!! Mark this Samia ni mpaka 2030!!
Na salary anachukua mbili au atabeba ya unaibu PM ,then ya wizara inakua POSHO?maana yake ni kwamba majaliwa kaelemewa na kazi na sasa kapewa msaidizi... kama mtu kachoka, kwa nini anangangamia?
Nani ambaye anaperform hata kwa 30% kwenye BM!!??Naona hujaielewa dhanna ya Reform and Rebuilding.
Hapo kwa Kassim Majaliwa, kilichositisha asipigwe chini ni mfumo tu, lakini ana "underperform" sana, juzi aliambiwa, usingoje maagizo kutoka juu.
Kwanini anaogopa kujiuzuru?Kwa jicho la tatu ni kuwa majaliwa kasimu kawekwa pembeni kimtindo! Na yawezekana hakubaliani na Dp World. Reference ni ukimya wa Majaliwa kwa sasa
Nimekuchoka ila sikuambii.....na sikutengui maana itanigharimu kisiasa...Ukimtafutia PM msaidizi unakuwa umempa ujumbe gani?
Wataalam wa siasa njooni mtupe majibu.
Ukisifia unapongezwa.Ila watu wajanja sana alianza Mkumbo Kitila kuwa msemaji wa Bandari baada ya muda akaula, akaja Jerry Silaa nae akamuiga Mkumbo hivi sasa nae kaula, kumbe hizi ndio mbinu mbadala ya kupata uwaziri, nyuma nilidhani ni uchapakazi kumbe ni kuwa mwimbaji mapambio mkuu.