Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Hahahaha hahahaha ndo kati ya majimbo 300 mkabalansiwa kajimbo Ka nkasi tu?
 
 
Hongera sana kwa kuwa na moyo wa ujasiri na uthubutu.
Tatizo letu Tanzania si Uislam wala Ukristo bali ni CCM

Wewe mtaani kwako ni lini uliwahi kupata ama kukataliwa huduma kutokana na misingi ya dini yako. Ukabila ama Udini huanzishwa na CCM.
 
Wanafiki nyie wakristo, ngojea teuzi ijayo mtakavyopiga keleke
 
Dalili ya mvua ni mawingu....

Hiki cheo cha naibu waziri mkuu kimechomekwa...Kiaina...

maskini majaliwa... safari imemkuta....Safari aliyoianza... Sasa ndio imeishia hivi...
 


Waziri mpya wa Tamisemi ni nani??
 
Wakiwa wao wanasema suala la udini halina nafasi,wakiwa waislam wanapiga kelele na kueneza chuki za udini na matusi,sasa tunawaeleza ukweli wanune wachukie shauri yao.
Naughty by nature na mwenzako MACHIRIKA yaani nyie mkiwa mnamshabikia mtu kwa misingi ya dini yake itakuwa taabu sana.

Maana kama mnamuunga mkono Samia kwa kuwa yeye ni muislam mwenzenu jua kwamba mnakosea sana. Udini na dini ni vitu viwili tofauti sana.
 
Mtu anayejikosha anajulikana tu, bi hadija ni mdini fullstop!
 
Naona hujaielewa dhanna ya Reform and Rebuilding.


Hapo kwa Kassim Majaliwa, kilichositisha asipigwe chini ni mfumo tu, lakini ana "underperform" sana, juzi aliambiwa, usingoje maagizo kutoka juu.

Tamisemi naona iko wazi je Majaliwa ndiyo inamsubiri
 
Tangu mababa askofu pale TEC watoe Waraka Wao pamekuwa na mabadiliko chanya kwenye Uongozi wa kisiasa pahala mbalimbali

Sasa hatujui kama ndio Waraka Unatendewa Kazi au ni mipango tu ya muda mrefu ya Serikali

Hata bungeni kama unafuatilia kwa Makini utagundua mamba yanabadilika kwa kasi na Uchawa wa Wabunge kwa Mawaziri umepungua sana

Mungu ni mwema Wakati Wote!
 
Majina sio dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…