Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Mtaje huyo Kijana tumjue vinginevyo hii ni comedian thread !
 
Waziri mpya wa Tamisemi ni nani? Je sijaaangalia vizuri au
 
asante Bwana Yesu, asante kwa kutuletea Bwana gabo, njoo Bwana Gabon
Sio hapa kwenye mwenge... Hapa wako bize kukamata walalahoi wanaovaa mavazi yanayofanana na yao...
 
Gabon yaja, JWTZ mzigo huo hauna mwenyewe changamkieni. πŸ˜€ πŸ˜€
 
Jpm ndo aliiharibu Ile sector kwa kupenda masifa ya mda mfupi bila kuangalia uchakavu wa vipuri, mitambo na vinginevyo. Jpm angeendelea kuwepo nchi IPO siku inheingia gizani mwaka mzima
Makamba alivyoingia alisema baada ya siku 20 mgao itakuwa ni historia matokeo yake ndiyo imekuwa ni zaidi ya mgao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…